siwezi kumuhukumu huyo mtu wako moja kwa moja ila pia yote yanawezekana, nina rafiki yangu 5yrs ago alikuwa na mahusiano na kijana mmoja hivi, huyo kijana walifahamina muda mrefu kidogo na walikuwa marafiki kabla ya kuanza mahusiano, hata mimi nina mfahamu vzr tu baadae ndo mahusiano yao yakaanza, kwa mtazamo ni mwanaume anaeonekana very decent in short ni husband material basi rafiki yangu akajua hapa nimepata mume, hata mimi aliponiambia jamaa amemtaka wawe na mahusinao nilimsapoti kwa asilimia zote amkubali manake namfahamu ni mtu poa sana, tatizo likaanza miezi 6 baada ya mahusiano kuanza, jamaa kila siku anataka wakutanie nyumbani kwa rafiki yangu kisa anadai anaishi kwao kwahiyo hawezi kumpeleka binti.
mwaka ukaisha jamaa bado anadai anaishi kwao, baadae tukaja kupata tetesi wala haishi kwao anaishi kwake, baada ya kubanwa sana na msichana wake akakiri ni kweli anaishi kwake ila hakutaka kumwambia manake anaishi na kaka yake na hakuwa tayari kumwambia manake angetaka kwenda na yeye hakuwa tayari kumtambulisha kwa ndugu, ikapita miaka 2 jamaa excuse haziishi mwisho wa yote rafiki yangu akaja kugundua jamaa hajatulia ana wasichana kila kona, wenye kujitegemea anawafuata kwenye nyumba zao na wasio na nyumba zao makutano ni gesti. So be careful
inawezekana anaishi kwake ila sio pazuri kiivyo (substandard) sasa anaogopa kukupeleka nyumbani kwani unajua utaamuacha au pia uenda ana mtu kwako anajikiza tu,anyway review class is good meeting point,hapo CPA lazima itapatikana tu.
Mpenzi wangu hataki nijue anapoishi, ila kwangu ameshafika, nikimuuliza kwanini hajawahi kunionyesha anapoishi, anadai anaishi na wadogo zake kwa hiyo sio vyema wakaniona, hapa nimeona dalili la penzi la kichina.
aisee, kwani walikutana centa gani, kwa babito au boma kwa rashidi....?
Ndo mfano unaotakiwa kuwa wanaume wengi ni mbwaaaa! Hata akitongoazwa anakuwa na akili! Sasa ukimleta mdada mmoja, huyo huyo ukamuoa anajua ndo maisha yalivo, akitongozwa anajua ataolewa! Thubutuuuuu! Mimi nimekuwa na cousins wangu wa kiume ----- ----- hatari, ndo maana nimewajua wanaume kiuhalisia! Wala walikuwa hawajifichi na wanatutisha kabisaaa! Fear of being played helped me!
Sasa mkiwa mnbehave kinafiki inawa mislead! Kama wadogo zangu wa kike siwafichi kabisaa mambo yangu! Nikiingizwa KINGI nawasimulia wajue kabisaaa dunia sio tambarrae! TIMES HAVE CHANGED! So did the game! Think outside the box!
Mpenzi wangu hataki nijue anapoishi, ila kwangu ameshafika, nikimuuliza kwanini hajawahi kunionyesha anapoishi, anadai anaishi na wadogo zake kwa hiyo sio vyema wakaniona, hapa nimeona dalili la penzi la kichina.
hahahaaaaaaaaa! Not necessarly! There are few good men left! Wengine akikuruhusu means anakupenda, kama hakupendi hugusi kochi lake! Wengine it means nothing! Just nothing! Sawa umefua, umedeki hadi uvungu, so what? Wengine kama ticha wangu hapo juu it means you have been played! Hatafuti beki tatu ngooo! It is really hard to tell!
Life is a gamble you win some, loose some!
wala simpi ng'ooo
Hahahaaaaa! Tena mie huku kitaaa ndo nakutaka! Aaaaaaaaaa! Nakunywa margarita zako, menu zilizoenda shule, i dress to impress for the evening, najipiga selfie za kutosha, tunahama joints kama 3, tunaishia hotelini, kama kuna sinki naweka povu kabisaa na kinywaji changu pembeni najiloewkamo humo! Na surf hata 1 hour humo! Baada ya hapo lengire na nguo za kazi ziko wapi, cheni ya kiuno iko wapi! Aaaah! Baadae wewe lala mi naoga tenaaa! Najianika kwenye ac,na movie ya maana! THAT IS LIVING!
Kwako kwanza nianze na bui bui, madirisha, uvungu, sufuria, nikupikie,nifue, nipasi, nikitoka hapo hoiiiii! Nioge tule, mgongo wote haufai! Margarita zenyewe huna, ninywe pepsi kuongeza kitambi tu! Nikiwa hoi bin taaban kwenye mechi naendeleza uchovu tuuu, baada ya hapo nioge tena ile kujimwagia, kama naondoka nianze safari ya kwangu, nikifika hoi kama gogo nalala! THIS IS SURVIVING!
I WANT TO LIVE NOT TO SURVIVE!

Mie Mwanamke,Ni vizuri kujua mpenzi wako anaishi wapi,sikuwa na maana anitambulishe kwa ndugu zake hapana,nilipenda tu kujua anakoishi basi,
Ila yeye muda wote anapenda kuja ninapokaa mpaka nikamuuliza mwenzangu kutwaa waja kwangu,mbona kwako hutaki nipajue?? ndio alipojibu kuwa anaishi na wadogoze na sio busara mimi kwenda,..
labda mnazi mmoja ndio habari mujini wenyewe wanaosoma cpa review dar wanasema
sio kila demu anapelekwa nyumbani especially kama unaishi na wadogo zako tena wa kike......
Wala Simpi Ng'ooo