Nina msela wangu anafundisha chuo, basi ndo zake, wanafunzi anagongea home!
Sasa mi nilikiwa nikiwa stressed out naenda pale kunywa pombe za bure, kula, kutia hasara in return nampa pointers za kipata madem, na mpimp mademu, napika saa ingine, hivo!
Wakija wadada anawaambia huyu dada yangu! Basi wanaliwa hatari! Mda mwengine 2 kwa siku!
Nikamuuliza kwanini unawapanga huofii scandal? Yuko SINA GHARAMA ZA KUCHEZEA KULIPIA HOTEL ISSUE ZENYEWE NYINGI CHINI YA KIWANGO! Nikimpeleka hotel ale, aninywee hasara sanaa! Bora hapa anafua, anasafisha, anapika namla vile vile! Win win kwangu!