Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Mkuu mapenzi cio ngo*no! Na huyo mrembo ulimtamani!! Ulitaka ukute ni kuruu! Alafu ulete thread kwamba nimekutana na mal*aya!,HUJAMTENDEA HAKI!, kwanza ulitakiwa uridhike na khali uliyokutana nayo,na kinachofuata unamtafakari! Baadaye unamuangiza darasani mwalimu akiwa wewe!!!, polepole atakufanyia hayo unayoyataka isiwe 0713,
 
Kumfuatilia kote huko kumbe ulichokuwa unataka ni hicho tu???
By the way.. Kama wewe wayajua ulimfundisha akashindwa kuelewa??

Wanchekesha!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sun najua yote hayo yanahitajika. Kwa mara ya kwanza au ya pili unaelewa kua hapa game waweza haribu wewe au yeye. Ila nilishindwa baada ya kuona sipati ninachostahili

Ukishapata unachostahili usisahau kupitia na angaza.. NoN sense!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha haa unajua sisi ambao tunajua kwamba hatujui sometimes ni bora kuliko wale ambao hawajui kwamba hawajui...

Anyway naamini there is always room for improvement hata kwa wale ma-don wa mapenzi kama alieleta uzi (na ameonyesha kwa kauli zake hata sisi tusiojua tunaona amekosea)
 
Umekosea sana Mkuu. Hakuna anayejua mapenzi.Kinachotokea ni kwamba,kuna sehemu hukuta tunavyovihitaji.Hapo tunawasifu wenzi wetu na kuwaona wanajua.Lakini,kwa wengine hao hao nao hawajui. Ulichotakiwa kukifanya ni kumueleza kwa upole kama wakati unamtongoza na kumwambia namna unavyotaka awe na afanye. Angefundishika Mkuu...hukufanya fair

Mkuu kweli sikufanya fair ila ktk maisha ya kawaida tunaambiwa tufanye kile moyo unapenda na kuridhia. Nilimueleza kiustaarabu sana
 
Ha ha haa unajua sisi ambao tunajua kwamba hatujui sometimes ni bora kuliko wale ambao hawajui kwamba hawajui...

Anyway naamini there is always room for improvement hata kwa wale ma-don wa mapenzi kama alieleta uzi (na ameonyesha kwa kauli zake hata sisi tusiojua tunaona amekosea)

mi namshauri amfundishe hayo maujuzi tu taratibuu fani itaeleweka.
 
Ha ha haa unajua sisi ambao tunajua kwamba hatujui sometimes ni bora kuliko wale ambao hawajui kwamba hawajui...

Anyway naamini there is always room for improvement hata kwa wale ma-don wa mapenzi kama alieleta uzi (na ameonyesha kwa kauli zake hata sisi tusiojua tunaona amekosea)

sun siamini kama najua naelewe kua ukweli umuweka mtu huru
 
Helo. Kuna mdada alinisumbua
kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda
zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae
kwa amani. Siku moja akanionjesha penzi lake sifichi hajui lolote na
kutokana na hilo upendo wangu wote ukaisha ila nikana c vyema kumuacha
kwenye mazingira ya kua kimya nikamwambia hanifai kwani HAJUI LOLOTE
YUPO YUPO TU na mbaya zaidi hata akinifulia nguo naziona km
hazijafuliwa. Je nilikosea?

Umbea huo kwa nn ucmfndishe ww c unajua sana
 
kumbe ukijua kufua tu ndo unakua umejua mapenzi? Kazi ipo......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom