Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Very correct!hata mimi ningempa za uso,wanawake wengi wenye pozi,nyodo na miyeyusho kibao chumbani ni weupe mbaya arifu.Ufundi wake anaishia kujinyonganyonga kama chatu aliyemeza mbuzi!
 
Hukumpenda wewe, true love rises above everything. Unadhani kuna mwanamke anaeanza mapenzi akijua kila kitu.
 
Well said mtamamchungu,akitaka mzoefu basi wako wengi,lakini hiyo ingemaanisha yeye mzabzab tuu. Mbichi ina thamana aiseeee!
 
Noor,nadhani wewe kidogo una asili ya mashariki ya kati,usikute wewe ndo ,ulotaka kumfundisha yale ambayo siyo.
Pili_usione kwamba wewe kila kitu unajua, kama unabisha, nenda kesho jioni kinondoni makaburini, kula changu yoyote kisha mwambie akupe moja kati ya huduma zifuatazo: KIBOGOYO
CLOUDS
VODA FASTA
ZANTEL
Hapo utajiona uko katika kundi gani,
TATU;huyo mtu wako kimjini anaitwa MCHUZI WA NJANO A.K.A wa kienyeji,sasa unataka nini tena, au ndo na wewe WALEWALE :shut-mouth: :behindsofa: :gossip:

duh nimeipenda hiyo clouds
 
mkuu hao huwa tunawafundisha ,wanayaweza na kuyamudu na wakuja kupenda sana kufanya mapenzi.....inaelekea wewe bado mgeni wa haya mambo ,au hukuwa na hisia naye kabisa..... hebu muulize Husninyo kama huwa hawafundishwagi na wakafundishika hata kama ni mzuri vipi

aniulize nin? Mie thijui kitu.
 
Last edited by a moderator:
we ----- tu, we ndo hujui, kwann hukumfundisha?
 
au ulitaka anatoa tigo ndo ujue anajua? we una bahati umekutana na mshamba ulitakiwa kumfundisha
 
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja akanionjesha penzi lake sifichi hajui lolote na kutokana na hilo upendo wangu wote ukaisha ila nikana c vyema kumuacha kwenye mazingira ya kua kimya nikamwambia hanifai kwani HAJUI LOLOTE YUPO YUPO TU na mbaya zaidi hata akinifulia nguo naziona km hazijafuliwa. Je nilikosea?

kweli ulikosea ulitaka ufundishiwe?
 
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja akanionjesha penzi lake sifichi hajui lolote na kutokana na hilo upendo wangu wote ukaisha ila nikana c vyema kumuacha kwenye mazingira ya kua kimya nikamwambia hanifai kwani HAJUI LOLOTE YUPO YUPO TU na mbaya zaidi hata akinifulia nguo naziona km hazijafuliwa. Je nilikosea?

kumuacha eti hajui mapenzi sio kweli. Wewe hukumpenda huyo dada toka moyoni. Upendo huvumilia, hauhesabi mabaya, haujivuni. Km kweli ulimpenda kwa dhati usingehesabu mabaya yake eti hajui kuhandle mwanaume.
Dada wa watu kajiheshimu, akakuheshimu na akakupa thaman ya uanamke wake unasema hajui?????? Ebu fikiria ww ungeambiwa hujui ungejisikiaje ikiwa umejitunza na kuheshimu mwili wako. Nampongeza dada anajipenda sn na anajua thamani yake km mwanaume, ila nampa pole kwa kukutana na mwanaume km ww usiejua nn maana ya upendo wa dhati.
Waulize wanaume wa kweli km mapenzi ni kutiana tu kitandani na kukata viuno.
Hukumpenda ulitaka tu kumuonja na hukuwa na mpango nae kiivo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom