insane!
i seee
wataachika wengi sana
HIVI as a woman unajuaje kama performance yako ni below par-maana many a men wont tell you-the reality lorry likiwa halina mzigo misele mingi tu-the moment linapopakia mzigo ni straight line tu,sadly this truehata mimi mwanaume namchana tu live kuwa hajui ya nini kuachwa na shombo.
Haihuuuuuu hata kiduchu.
Mleta mada yupo sahihi kabisa kama msichana mjanja atajua afanye nini.
HIVI as a woman unajuaje kama performance yako ni below par-maana many a men wont tell you-the reality lorry likiwa halina mzigo misele mingi tu-the moment linapopakia mzigo ni straight line tu,sadly this true
Hilo ndilo jibu. Huyu jamaa alikuwa na matarajio yake. Sijui alitaka kuruka ukuta maana....
unaweza hisi kuwa performance yako ni ya nguvu kumbe kwa mwenzio anaona ni below par(hili kosa linafanywa sana na akina dada) kumwambia hajakosea lakini majority ya wanaume will never tell you-maana hapa unaweza break down mtuuamuzi wangu kupiga perfomance ya nguvu au ya kibishoo kwa hiyo hata kabla hujaniambia mie nimeshajua .
Back to topic
we unaonaje amekosea hajakosea?
unaweza hisi kuwa performance yako ni ya nguvu kumbe kwa mwenzio anaona ni below par(hili kosa linafanywa sana na akina dada) kumwambia hajakosea lakini majority ya wanaume will never tell you-maana hapa unaweza break down mtu
A gentleman in love will never tell her but with time will indirectly home in the messageUkweli unaweza kumtoa level moja kumpeleka nyingine
unaweza hisi kuwa performance yako ni ya nguvu kumbe kwa mwenzio anaona ni below par(hili kosa linafanywa sana na akina dada) kumwambia hajakosea lakini majority ya wanaume will never tell you-maana hapa unaweza break down mtu
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja akanionjesha penzi lake sifichi hajui lolote na kutokana na hilo upendo wangu wote ukaisha ila nikana c vyema kumuacha kwenye mazingira ya kua kimya nikamwambia hanifai kwani HAJUI LOLOTE YUPO YUPO TU na mbaya zaidi hata akinifulia nguo naziona km hazijafuliwa. Je nilikosea?