Noor
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 146
- 49
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja akanionjesha penzi lake sifichi hajui lolote na kutokana na hilo upendo wangu wote ukaisha ila nikana c vyema kumuacha kwenye mazingira ya kua kimya nikamwambia hanifai kwani HAJUI LOLOTE YUPO YUPO TU na mbaya zaidi hata akinifulia nguo naziona km hazijafuliwa. Je nilikosea?