Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,239
- 22,674
Au hata google driveHata ukifanya partition bado hauko salama. Njia salama ni kufungua account ya Dropbox then uwe unaweka files huko.
Yes mkuu. Awe tu tayari kuwa na internet muda anafanya kazi ili synchronisation iwe real timeAu hata google drive
HakikaYes mkuu. Awe tu tayari kuwa na internet muda anafanya kazi ili synchronisation iwe real time
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c .
Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?
Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop ..ila nikaambiwa ni hatari ..
Sawa ila pia unanshauri nivirudishe vitu pale kwenye folder la desktop ama hapo kwenye disk c?Tafuta external mpya save alafu hiyo utumie kwa zalula tu.itakopokuwa unataka matumizi ila uqe nazo mbili
Sawa kwahiyo hta nilipokuwa nimeziweka mwanzo ni nako hatari?Hata ukifanya partition bado hauko salama. Njia salama ni kufungua account ya Dropbox then uwe unaweka files huko.
Desktop ni part ya Local Disc C. Hauko salama. Kwa kifupi kuweka sensitive files kwenye computer hakuna usalama. Pambana na cloud storage. Mbona free kabisa. Bando lako tuSawa kwahiyo hta nilipokuwa nimeziweka mwanzo ni nako hatari?
Acha nijaribu mkuu google drive mpka nii install ama online?Desktop ni part ya Local Disc C. Hauko salama. Kwa kifupi kuweka sensitive files kwenye computer hakuna usalama. Pambana na cloud storage. Mbona free kabisa. Bando lako tu
Sawa ila pia unanshauri nivirudishe vitu pale kwenye folder la desktop ama hapo kwenye disk c?
Hata ukiweka kwenye C na windows ika corrupt, ukija kuweka windows upya bila kuformat vitu vyako itavikuta kwenye windows old. Partition ya pili sio muhim ila wengi wanafanya hvyo ili kupangilia vituWakuu binafsi nna disk moja tu local disk c .
Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?
Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop ..ila nikaambiwa ni hatari ..
Partition ni nini?Hata ukiweka kwenye C na windows ika corrupt, ukija kuweka windows upya bila kuformat vitu vyako itavikuta kwenye windows old. Partition ya pili sio muhim ila wengi wanafanya hvyo ili kupangilia vitu
Sawa mtaalamu Leo "inapendeza iko wapi?
Hivi mkuu external inaanzia ukubwa gani bei gani
Weka kwenye local drive D kama pc yako ina partitions mbili angalau utakuwa salama kuliko kiweka kwenye desktop au local c maana desktop ipo ndani ya local cAcha nijaribu mkuu google drive mpka nii install ama online?
Bab kubwaWeka kwenye local drive D kama pc yako ina partitions mbili angalau utakuwa salama kuliko kiweka kwenye desktop au local c maana desktop ipo ndani ya local c
Ukiweka kwenye d hata windows iko corrupt waka format local C data zao kwenye D zitakuwa salama
Njia nyingine ambayo ina gharama ni kusave kwenye google drive ai dropbox nk. Ingawa kama una ma file makubwa unatakiwa uwe na data ya kutoshakuzi upload.