Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Wapo watu wana uwezo kupata na kuwahudumia watoto ila hawataki kupata watoto kabisa.
 
Sio kweli
 
Ni salama,kuwa na mtoto au kutokuwa na mtoto ni uamuzi binafsi wa mtu ambao hauwezi kuondoa usalama duniani.

Mkuu haya Mambo labda huko kwa wenzetu, huku kwetu umri ukifika tuu vikao vya familia, mtaa, class group, ni balaa
 
Sio kweli
 
Sio kweli
 
Kuna watu hawataki kuwa na watoto
 
Ni ajabu kwamba binadamu wengi wa Africa hawaelewi maelezo rahisi kama haya!
 
Hawapendi kuforce bali wana uelewa finyu sana kuhusu sehemu kubwa ya dunia,maisha ta kijijini au mtaani kwao wanafikiri ndio mawazo ya watu zaidi ya bilioni saba duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23] afadhali umemwambia maana humu Jf bhana kupenda kuforce mawazo yao yawe ya kila mtu wanachekesha kweli
 
Alidhalilika kwa sababu ni maskini sio kwa sababu hakuwa na mtoto.
 
Tatizo binadamu wasiojua maisha nje ya yale wanayoyajua wanafikiri hayo ndio maisha pekee yaliyopo duniani.
 
Mzee akili kubwa sana.
 
Wapo watu wana uwezo kupata na kuwahudumia watoto ila hawataki kupata watoto kabisa.
Duu. Mimi sijawahi kutana na mtu ambaye yupo over 35 anasema sitaki mtoto...umri huu
 
Alidhalilika kwa sababu ni maskini sio kwa sababu hakuwa na mtoto.
Hivi hata ukiwa na pesa,, pesa zako zitakuwa na faida gn kama jasho lako,, nguvu zako,,zikiliwa na mwingine? Na sio mtoto wako? baada ya wewe kuondoka duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…