Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Status
Not open for further replies.
Mwache ajilipue tu. Wenyewe wanaita mahaba niue loh!!!!

Maisha yakumbembeleza mtu kama Mungu Arghaaa!!!! Badala mwaume ambembeleze yey, yeye ndio analilia hapa khaa!!.

Kuvunja ungo plus kubalehe basi ni sheeda
 
hahahhahahahahahha.....japokuwa ulichoandika ni ngumu kueleweka kutokana na uandishi wako,nafikir ni BRN result ila kimsingi WANAUME hawapo hivyo,huyo ni mvulana kama ambavyo wewe bado ni msichana....
 
Pole sana dada kwa yaliyokukuta,katika suala la mapenzi kuna stage mbalimbali ili ukomae na uyajue na wengi waliokomaa wapetia hatua mbalimbali za tabu na maaumivu kama wewe wakajitambua sasa mapenzi hayawapi shida kama wewe.Ninachokiona kwako uko katika hatua ya mwanzo ambapo wengi wanadhani ni mapenzi halisi kumbe ni matamanio ya kingono ...mapenzi ya kweli utayajua sababu safari ushaaianza ......nikushauri sasa hasira za kuachwa na kudharauliwa zipeleke shule soma kama vile huna msaada wowote....Mungu ni mwema tena si mwanadamu akupendaye kwa dhati utampata na utasauhau maumivi yote.
 
Mwache ajilipue tu. Wenyewe wanaita mahaba niue loh!!!!

Maisha yakumbembeleza mtu kama Mungu Arghaaa!!!! Badala mwaume ambembeleze yey, yeye ndio analilia hapa khaa!!.

Hivi apologize maana yake kubembeleza au kuomba vile..

Mwanaume ndio anayebembelezwa wewe, akibembeleza ujue anataka papuchi huyo...

We uliagi, nyie ndio mnaokufa na kijiba cha roho
 
@kelly G, ni simu gani unatumia kudownload apparatus na mimi ni download niwe najikumbushia titration aisee!!!

Hukosekani kabisa kwenye thread zenye uwezekano wa kupata fursa kama hii...
 
apparatus gani ulidownload kwenye simu, beaker, spatula au round bottomed flask? wanaume wote hatuko hivyo ni kwamba huyo hakuwa kwaajili yako. ulitakiwa ustuke alipokudharau hata hajakudinya. mbaya zaidi kamdharau na mama yako. jikaze na vumilia utapata anayekuheshimu na kukupenda. pia kumbuka.

29454.jpg
 
Tatizo hujielewi

Hujitambui

Hujithamini

Acha hicho kivulana kikusumbue tu
 
Jibu sahihi ni kuwa wanaume wote wapo hivyo nadhani hata mfano unauona kwa baba’ako na kaka zako.
 
Tatizo lenu mnapendaga vi bibraza men na vibishoo, watu wenye nia nzuri na nyie wanakujaga ila mnajiona keki, mnawaringia utendwe tu, nasema utendwe tu maana tumechoka...

Naunga mkonyo aaah! mkono hoja
 
Angekuwa ni mumeo ningekushauri la maana. Sasa boyfriend tu unapata stress hivyo...? Huyo mtupe mbali...futa tena delete kabisa. Soma binti...achana na huyo gumegume. Wanaume wote hawapo hivyo. Ni huyo wako tu ndo yupo hivyo.
 
Ushauri mzuri
 
Tatizo lenu mnapendaga vi bibraza men na vibishoo, watu wenye nia nzuri na nyie wanakujaga ila mnajiona keki, mnawaringia utendwe tu, nasema utendwe tu maana tumechoka...

We utakuwa mbaya :-D eeh, comment zako hizi! ! Una kakibuti kameumiza moyo. Hakuna kulazimisha mambo, hata wazuri wanaachwa vile vile haina fomula kaka. Huwezi kuufundisha moyo ukiamua ndo maana ukimpenda mtu umempenda usipompenda basi hujampenda. Usiwaze mambo ya ubaya na uzuri, inawezekana unayemtaka wewe anakuona mbaya ila mwingine anakupenda hivyo hivyo ulivyo na wewe humtaki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom