KAMINYINGE
Member
- Mar 8, 2013
- 64
- 7
We mwanamke mshamba wa mapenzi mpaka elimu yako haikusaid je hata picha huoni?achana naye tena kakudharau wewe na mamako
Pole sana. story yako inaendana na yangu ila mimi ni me.kuna msichana alikuwa ananifanyia dharau kama boy wako ila mimi alizidisha dharau mwisho wa siku mie nikaona isiwe tabu nisije nikafa kwa presha bure nikachukua mamuzi magumu kama mh.... nimeamua kuconcentrate kwenye masomo tu huku mungu akiniandalia mke mwema mwenye kujua thaman ya mwanaume ....... we kazania masmo kwanza huku ukimuomba mungu akuandalie mwanaume mwenye upendo wa kweli huyo siyo nyota yako mkuu utakufa bure na msongo wa mawazo.
duh kwa hiyo unasema mama yako aliongea na huyo kijana? mbona maandishi yanaonekana bado mdogo tu? kweli kizazi hiki kinaangamia, badala mama akuhimize usome kwa bidii yeye ndio anatia chumvi kwenye mapenzi yenu. huwa mnatumia kinga kweli?