Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Status
Not open for further replies.
Tatizo lenu mnapendaga vi bibraza men na vibishoo, watu wenye nia nzuri na nyie wanakujaga ila mnajiona keki, mnawaringia utendwe tu, nasema utendwe tu maana tumechoka...
 
Boys na girls ni sheedah.

Wololo. Na mdogo wangu Mentor naomba kuanzia leo alale mapema mwili ukue.
 
Last edited by a moderator:
Pole saana, jifunze kuwa makini katika relation, pia jifunze kupenda kwa kiasi..
Jifunze kutokurudia makosa..
 
Uko kidato gani????
Maana unachoandika hata hakieleweki,jifunze kwanza kuandika kwa ufasaha
 
bado mko stage ya kukua...itafika sehemu utaona ilikuwa hatua ya kukukomaza tuu.....
 
Nilichoelewa ni kwamba this is a story about a girl and a boy!
 
girl ebu angalia shule bhana.. i bet umejifunza kitu from hayo mahusiano na ts a hard lesson. lakin hebu jithamini, jiamini, jipende wewe kwanza..
na tambua kua yeye huyo kijana hayupo tayari kwa kitu tunaita permanent relationship hapo ata utumie nguvu namna gan he will only use you…

to be honest hamna kitu kinavutia kama mwanamke anae jiamini na anaekua na guts za ku walk away pale ambapo anaona mazingira yatamuumiza tu…
i would advice u to walk away, the guy atakuja kuwataka kimapenzi hadi watoto mlio wazaa
cc: kelly G
 
Wangekua wote wapo hivoo usingeonaa makanisani kilaa jumamosi watu wanafunga ndoa....
 
Hiyo hatari dada yangu,pole sana!!!Mapenzi ndivyo yalivyo.Vumilia pia endelea na shughuli zko hasa ongeza juhudi shuleni.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nimatumaini yangu wote ni wazima

jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili ukubaliane na ntakachoomba kwako nikamuomba kama hataweza kuvumilia kunisubiri basi awe na mpenzi mwingine sababu sipendi kushare kama mara tatu akasema ataweza nikaja DSM kwa ajili ya mambo ya shule.

Ile nafika huku miezi miwili kupita akapata smartphone akabadilika akaniambia ktk social network nisimuite sweet names mara anataka kulala mapema eti mwili ukuwe mara nikipiga simu yake naukizwa leta habari kitu kidogo ananuna hata siku tatu pengine mimi hata sijakosea.

Fb posts za love haziishi nikaamuwa kufata yangu baadae nikagundua ana girlz wengi katika mitandao wanaomsufia zile sifa ndio zinampa kichwa mwezi mzm ukapita akiendelea hivyo kuna siku akaniambia kuwa yote niliyokuwa nakufanyia ni sababu ya msichana mmoja hivi Fb aliponitajia jina la huyo girl alikuwa ni rafiki yangu ikanibidi nimwambie yule msichana waendele kwa kuwa alinikana kuwa alishaachana nami yule girl nae akamkataa.

Sikupenda hali ya mpenzi nikaomba tuyamalizee tuendele katika mahusiano kumbe ndo nakaribisha tatizo lingine
baada ya kuwa pamojaa akawa hayupo kama awali hazikupita siku nyingi akaniambia sihitaji msichana sikuweza kumlazimisha kwa kuwa ni uamuzi wake nikaendelea na mambo mengine ukapita mwezi.

Nikiwa naumwa miguu sikufahamu nani alimpa taarifa akawa ananijulia hali kama mwanzo akanibembeleza nikamwambia mimi na mavazi ma baya kila sifa zote mbaya ninazo lakini kwa kuwa nampenda nikasahau yaliyopita nikarudiana nae kama mwanzo.Baadae nikapoteza usichana wangu kwa jinsi nilivyompenda nikawa na imani yeye ni wa kwanza na wamwisho kwangu .

Duh kumbe nimewrong nikimuhitaji hataki kuonana nami nikaona likizo chungu.tukienda lodge hataki kutoa fedha yake mara naumwa visingizio vingi me nitoe zaidi yeye yake inamipango minginee.Nikichelewa kidogo kufika alipo anazira na kununa akaanza maringo yake kama mwanzo mara sweet names kwa fb accnt yake kutoka kwa girlz akanimbia nawe waite sikujali hilo hata alipo niunfriend kwa Fb account yake.

Nikabidi niondoke sikutaka rikizo yangu iwe kikwazo kwa wengine akaendelea na tabia yake kama mwanzo tena akazidi hadi siku 5 zinaweza pita bila hata yeye kunitafuta ikaendaa hvyoo nikiuliza hana vochaa mara hapend kujiunga anagomba tu kuna day nikawa natoka kwenye kipind mdogo wang akanitumia msg akisema kuwa mpenzi wako ananisimbua Fb ananitaka nilipokuja kumuuliza yeye akasema yeye ndio kanishobokea.

Nami nikafanya hvyo ntakwambia kesho yaani anaona kawaida tu.sikuhitaji kumuuliza kufahamu chochote kwa kuwa nafahamu tabia zake zilivyo kuna siku nikachukua simu ya sister ili nidownload apparatus katika simu yake nilipochukua simu nikakuta sms za yule mdogo yangu anaishi dom ziliwa zinazungumzia mambo ya boy wangu
kuwa anamsumbua simu kila mara anataka waonane mara anafuture naye maneno meng niliumia sana kudhalilishwa vile nikiamini mwenzangu yupo busy na chuo hata kunitafuta kwa nadra mambo mengi kumbe busy na girls.

Nilipomwambia akaniblock whatzap zen akawa hatumi tena hata texts nikituma sijibiwi nikamwambia yaishe anisamehe yote kwa kuwa nampenda mwisho nikachoka kutuma massage akanitafuta alipopiga simu sikuwepo sikufahamu nani alipokea na kiliendelea nini nilipokuja mtafuta mimi alipokea simu akiongea kwa dharau na maringo, akaniambia amekasirishwa na nimemuuzi sana kwa niliyoyafanya kuhusu yeye na mdogo wang nikabaki nashangaa mimi ndo tatizo nimsamehe sana kwa kuwa yeye haitaji kuwa na mapenzi nami mwenye lawama ilibidi niende call nililia sana.

Mama akampigia bado hakuthamini yule ni mzazi akaongea kwa maringo kama awali mama hakusikiliza kwa sababu ya dharau aliyoionyesha. Sikuwa na jinsi ilibidi nibadili namb ya simu nikamuahidi sitamsumbua tena baada ya siku kupita nikakuta katika account yake ya Fb ameadd relationship na msichana mwingine tena.

Je, wapenzi wote wapo hivyo na kwa wengine?
Naamini asilimia 99 ya wanaume wa Tanzania wako hivi. We umeenda Dar kusoma then soma achana na wanaume. Hiyo asilimia moja ya wanaume wema utawapata tu baadae. Huyu BF wako ni bogus na atakuletea ukimwi
 
Binadamu hatufanani kamwe. So hata wanaume Hawawezi wakawa wabaya wote. Mpotezee kwanza, concentrate na masomo yako
 
endelea na kitabu tu mama angu mpnz sisi hatueleweki ata nyie pia mko ivo ivo jikite kwenye kitabu kwanza mimi pia nilifanyiwa kitu mbaya na jinsia kama yako nimeamua moja tu shule kwanza
njoo pm tushee matatizo

hahaha da mki share matatizo yenu si mtaongeza matatizo +
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom