Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Status
Not open for further replies.
Nope. Tumetofautiana, jus forgive him, forgive yourself labda ulijihukumu na kujilaumu kwa kumkubalia tena pale aliporudi Mara yapili. Trust Me kuna Wanaume sahihi weng tu kwaajili yako. Jus a Matter of time.. There's time for Every One.. Be patience wakati wako Ukifika.. Atakuja aliesahihi Kwako.
 
Khaa!! Komaa na shule bana. Hayo waachie baba na mama 🙂
 
Mwanzo mbaya na mwisho wake pia mbaya labda mlianza vibaya.
 
Shida wewe unamng'ang'ania nadhani kwasababu ndiye aliye kutoa usichana wako, hiyo isiwe ishu, Fata yako muombe mungu atakuonesha Mume mwema achana na Hilo dubwana
 
Pole sana,hapo hakuna mapenzi cha msingi achana ulipokosea nikuamini yeye ndiyo wa kwanza na wa mwisho.Huyo atakuchanganya achana Amini wewe bado ni mrembo kuwa mvumilivu upate chaguo lako sahihi.Na usifanye tena mapenzi mpaka uolewe na tena tena na tena usimuamini..."There is nothing a good person can do,when everything falls apart".Atakumbuka shuka kumekucha.
 
Nimesoma japo story haina mtiririko mzuri
cha msingi ni kuwa huyo sio mume unapoteza muda wako bure. Kata mawasiliano........

inavyo onekana wewe ni binti mdogo na unasoma na kushauri uongeze bidi kwenye masomo yako ....ukimaliza hapo ukapata shuhuli yako mbona utapata mwanamme mzuri tu.
lnaonekana wewe una true love...ukitulia utapata a genuine husband
 
tembea mbele wew,hapo huna chako,fanya mambo yako ucje umia bure na mtu asiyejua thaman ya pendo lako.
 
Kuna aliyemaliza kuisoma hii post anisamaraizie?
 
Your too young ndo maana haya yanakutatiza. Tulia wanaume wazuri wenye mapenzi ya dhati wengi wengi. Usiwe na papala. Mfute katka akili yako tulia soma. Msahau mbona watia nia wapo kibao tu ukijitunza, na wapo hadi utasema mbona sikukujua mapema. Piga shule kwanza watajipanga baadaye. Mnyooko lazima utauona. Acc. Za facebook sijui zingine alizonazo futa. Hata kama unampenda. Sio wa mwisho yeye. Wapo kibao kikubwa achana naye. Mshenzi wa tabia tu huyo. Anawachafua wengine wakose jimbo.
 
Hata mimi sijasoma mpaka mwisho ila pole sana!!!
 
kwanza naomba kuuliza ivi izi mbwembwe zakuwekana sijui fulani is in relationship with pimbi fulani zanini? weka ukiwa umeoa au kuolewa tu.Pili, wewe unasema huyo jamaa anakutesa lakini nahakika nawewe unatesa wanaume ivyoivyo wanaokupenda kwa dhati kisa kung'ang'ania icho kisharobaro chako.tatu,hebu soma achana nahayo mambo kwa mdaa huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom