Je, ni uchawi au saikolojia?

Watu wenye kukataa hakuna uchawi huwa wapo wa aina mbili. Kuna ambao hawajawahi kushuhudia athari ya uchawi zaidi ya kuusikia tu na watu hawa huwa wakishuhudia wanakubali kuwepo uchawi, lakini kuna ambao wamechagua tu kupinga uwepo wa uchawi kwa maana watu hawa hata iweje wao wanalinda msimamo wa kukataa uwepo wa uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…