Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Hahahaha!!! Wewe utakuwa ni mura nini?(joking) sasahivi ongea tu baba yangu ukipenda na ukaingia kwenye real life utajikuta tu kuna visheria vinavunjika vyenyewe............

Hahahahahaaaaaa! Eti nikioa baadhi ya visheria vitavunjika wenyewe! teh teh teh! Ok i do agree once again but sitosita kumuonba Mungu aniepushe na ke mvivu.

Uwe na jioni njema.
 
Umeona eeeh na tena na kilio juu lakini kufua tu analeta maneno marefuuuu:screwy:

mtasababisha wenzenu waachwe bure hebu kaeni kimya basi
....
hilo la mwanaume kufua nguo za mkewe sijaliona bado
 
Mahusiano ya kimapenzi hua yanaimarishwa na vitu vidogo vidogo kama hivyo,kumfulia mkeo au kumsaidia chochote ndo mahaba, napenda sana wanaume wanaojua kujali kwa vitu kama hivyo hata kama ni mara moja kwa mwaka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mbona kawaida.....na hii baba yangu anaifanya sana kama mama yupo busy....anaumwa.....baba anafua.....kifupi baba hapendi watoto au housegirl wafue nguo zao.....

kwahiyo jukumu la kufua nguo zao ni baba au mama.....au muda mwingine wanafua wote kwa pamoja....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ujue umeingia kwenye kundi la watu ambao napenda sana kuwasoma hapa jamvini. Ahsante sana Mkuu.

KikulachoChako yupo vizuri kwa kweli....hata mimi nikiona comment yake napenda kuisoma.......sema tu ana shida na watoto wa kike alisema hawapendi watoto wa kike sijui kwa nini.....ingawa namwombea aachane na imani mbaya kwa watoto wa kike......
 
Last edited by a moderator:
nidanganyeni tu nasoma comment zenu zote na ndoa yangu ikivunjika nakuja kulialia hapa JF
 
KikulachoChako yupo vizuri kwa kweli....hata mimi nikiona comment yake napenda kuisoma.......sema tu ana shida na watoto wa kike alisema hawapendi watoto wa kike sijui kwa nini.....ingawa namwombea aachane na imani mbaya kwa watoto wa kike......
Sawa dada yangu endelea kuniombea.......
 
Kila mmoja wetu hujisika raha pale anapojua kuwa kuna mtu ambaye anamjali, kumthamini na kutambua uwepo wake hapa duniani....na hapo ndipo zinapojengeka nguzo imara za penzi....ni ukatili ulioje ukimuoa kipenzi cha roho yako akiwa hajiwezi kitandani...alafu wewe unagoma hata kumsaidia kumfulia nguo.....ni ukatili ulioje kwa yule uliyekuwa unadai kuwa huwezi kuishi bila yeye.....lakini leo hii anaumwa unashindwa hata kumsindikiza kumpeleka hospitali kwa sababu watu watakucheka.....????...........MAPENZI NI YA WAWILI...

Mtani you always make me happy aiseee napenda ninachokisoma kwako
 
Honey Faith everlenk Ikiwa mnaamini hizo ni promo muamini pia wanaume wote wanaosha nguo za ke wao. Hap akina Eli79, Kikulacho chako na wengineo ni wazuri kitheory na kimkakati! (mvaage miwani sku moja moja)


eve kwenye uchumvi uchumvi usikufananishe na kufua. Simple qn: Nisipozama mimi atazama nani?


Mkuu, sitaki kufanya ligi ya kubishana. Amini usiamini, nafanya hayo na wala siangalii nani anasema nyoko. Maisha ya unyumba ni ya wawili, sio majira wala ndugu.

Lakini pia haya mambo yanaendana na makuzi ya mtu, kama wewe tangu ukue na kujitegemea hujawahi hata kumletea mama yako kijiko, upo sahihi kuamini unachoamini. wengine tuliyafanya hayo tangu utoto, tulipika chakula cha wote, tulipiga deki nyumba nzima...hatuoni ajabu kuyafanya hayo tukiwa na familia zetu.
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo umeanza lini ubishi?? mbona kubisha sana ndugu yangu au una matatizo
 
Last edited by a moderator:
Aaaaha kama anatatizo nitafua.... Ila kwa hawa wanawake wetu wa siku hizi naona unakaribisha tu dharau za reja reja.
 
Mashaxizo umeanza lini ubishi?? mbona kubisha sana ndugu yangu au una matatizo

Hapa hatubishani MankaM ni mawazo huru tu, if kufua nguo za ke sio tatizo sidhani kama hii mada ingekuepo hapa.

Kwani weye utaridhika siku unaskia mtoto wako wa kiume anafua nguo za mkewe?
 
Last edited by a moderator:
Katika pita pita zangu nkakutana na mwanaume anafua nguo za kike, hata nilipojaribu kusogeza karibu mboni za macho yangu ili kushuhudia kitendo hiki jamaa alichokuwa anakifanya, ndipo macho yetu yalipokutana na kumuona jamaa akijiskia aibu na kuanza kuangalia chini, naam hali hii ilinifanya nijiulize je haya ni mapenzi au adhabu?

na hela nani anatafuta? Huyo atakuwa kala ile dawa inaitwa LIMBWATA.
 
Aaaah mbona kitu cha kawaida! Tatizo watu wengi huogopa macho ya watu lakini ni jambo la kawaida.
 
Hapa hatubishani MankaM ni mawazo huru tu, if kufua nguo za ke sio tatizo sidhani kama hii mada ingekuepo hapa.

Kwani weye utaridhika siku unaskia mtoto wako wa kiume anafua nguo za mkewe?

mkuu siwezi kuingilia maisha ya mwanangu ujue kwasababu yale ni maisha yake na sio yangu ila ntampa pongezi za dhati kabisa kwa kumsaidia mkewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom