Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Mapenzi ni kitu kingine ero! Wenzio wanavimba viguu na kula udongo on behalf sembuse hii kufua tu? Jambo lolote litakalofanywa chini ya shinikizo ni batili, hata kama ni kupenda kwa kulazimishwa/lazimisha!
Du.. Hapa umenikumbusha jambo ambalo mimi lilinishangaza kweli kweli Kuna wengine wanatapika kabisa On behalf of wake zao...kipindi wanapokuwa wajawazito!!!...... Haya mapenzi kwa kweli ni sheedah
 
Hata mimi huyu jamaa ananifurahishaga sana nikisoma comment zake napatwa na faraja fulani na matumaini kwamba there are still amazing beings out there...Anakonga nyoyo za wengi..kwa upande mwengine nakubaliana na sister pia kuhusu mtazamo wake wa watoto wa kike uko hasi!!Big up mkuu KikulachoChako!!

Asante sana dada yangu....tatizo ulimwengu wangu wa wanawake umezungukwa na vituko kuwahusu hao wanawake...may be natakiwa kutoa kichwa nje ya box...pengine nitaona ulimwengu mwengine wa hawa viumbe utakaonifanya ni badili mtazamo wangu kuwahusu....may be...
 
Last edited by a moderator:
Asante sana dada yangu....tatizo ulimwengu wangu wa wanawake umezungukwa na vituko kuwahusu hao wanawake...may be natakiwa kutoa kichwa nje ya box...pengine nitaona ulimwengu mwengine wa hawa viumbe utakaonifanya ni badili mtazamo wangu kuwahusu....may be...
I believe ur a good man...probably hurt before by the opposite gender :thinking:....But there is hope for you,you just need to believe more in yourself....And have faith!!!
 
Mtani yule shemeji yangu anakufulia?? Mi namfulia wifiyo mpaka andawea, kwa raha zangu.

Aiseee!! Hongera sana kumbe mtamu hivyo!!!!....nguo afue wapi ila anapenda sana kufua zile nazoloweka bafuni lol..........Mtani unajisifia hapa wakati juzi nilisikia unamgombeza bibi boxer zako hajafua na ulikuwa hauna ya kuvaa....😀
 
Kila mmoja wetu hujisika raha pale anapojua kuwa kuna mtu ambaye anamjali, kumthamini na kutambua uwepo wake hapa duniani....na hapo ndipo zinapojengeka nguzo imara za penzi....ni ukatili ulioje ukimuoa kipenzi cha roho yako akiwa hajiwezi kitandani...alafu wewe unagoma hata kumsaidia kumfulia nguo.....ni ukatili ulioje kwa yule uliyekuwa unadai kuwa huwezi kuishi bila yeye.....lakini leo hii anaumwa unashindwa hata kumsindikiza kumpeleka hospitali kwa sababu watu watakucheka.....????...........MAPENZI NI YA WAWILI...

Wanaume wote wangekua na mtazamo kama wako,dunia ingekua sehemu ya furaha sana,hongera..
 
Katika pita pita zangu nkakutana na mwanaume anafua nguo za kike, hata nilipojaribu kusogeza karibu mboni za macho yangu ili kushuhudia kitendo hiki jamaa alichokuwa anakifanya, ndipo macho yetu yalipokutana na kumuona jamaa akijiskia aibu na kuanza kuangalia chini, naam hali hii ilinifanya nijiulize je haya ni mapenzi au adhabu?
Ndiooo ni mapenzi ya dhati
 
Kila mmoja wetu hujisika raha pale anapojua kuwa kuna mtu ambaye anamjali, kumthamini na kutambua uwepo wake hapa duniani....na hapo ndipo zinapojengeka nguzo imara za penzi....ni ukatili ulioje ukimuoa kipenzi cha roho yako akiwa hajiwezi kitandani...alafu wewe unagoma hata kumsaidia kumfulia nguo.....ni ukatili ulioje kwa yule uliyekuwa unadai kuwa huwezi kuishi bila yeye.....lakini leo hii anaumwa unashindwa hata kumsindikiza kumpeleka hospitali kwa sababu watu watakucheka.....????...........MAPENZI NI YA WAWILI...
A real gentleman talks, mwanaume co kutia tu.
 
Mmmmmh,wapendwa kwani cha ajabu nini!lazima tu saidiane kazi hayo ndo mapenzi.

Hata nikupende vp siwez kukufulia nguo zako! Ni bora nikakununulie nyingine kama zote ni chafu! Nguo zako pekee ninazoweza kukufulia willingly kabisa ni chupi zako tu, ili nizinusenuse tu! Mwenyewe hujisikia rahaa!
 
Kuna shida gani? Mimi huwa nafua na kumnyooshea kama yeye anavyofua na kunyoosha nguo zangu. Tena hata msosi huwa nautengeneza bila tatizo. Nani kakwambia mwanamke ni mtumwa wa mwanaume?
 
Mara moja moja si ajabu lakini kama ni zamu kuna mushkeli
 
Ni sawa tena kabisa hakuna tatizo pengine mwenza anaweza kuwa mjamzito si mbaya kusaidiana mara moja moja au pale inapotokea dharura
 
Wanaume wengine hamjui mahaba kumfulia kuna tatizo gani yeye anafua mwenzie anaanika huku story mbili tatu.....siku nyengine mmoja anakata vitunguu mwengine anapika na vibusubusu vidogo vidogo kimyaaa wenyenu.....kumsaidia mwanamle kazi kunaongeza mapenzi na ukaribu
 
Inategemea na situation mkuu,kama mke ni mgonjwa unaweza msaidia tu,ila kama unafua kisa yy kasema ufue alaf yupo tu hana cha maana anachofanya,u need to think twice mkuu
 
Dah;kumbe nimekumbuka nimefanya wrong wiki iliyopita mpenzi wangu alikuja kwangu asubuhi yake akaacha gauni lake akaenda kazni nikamfulia juzi tena akaja ucku kesho yake alikuwa anawahi kazini akaniomba nimfulie nikamfulia.duh kumbe nilikuw wrong mi najua mapenzi kumbe naonekana zezeta;ngoja aje tena....;
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom