Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,596
Kwa mahubiri ya jana ya mzee wa upako nilitegemea mada kama hii JF, hakuna ubaya wowote alimradi anafanya hivyo kwa moyo wa upendo na si kulazimishwa.
mhhhh,
Kwa mahubiri ya jana ya mzee wa upako nilitegemea mada kama hii JF, hakuna ubaya wowote alimradi anafanya hivyo kwa moyo wa upendo na si kulazimishwa.
Bright Smart;
Nashindwa kuamini kuwa leo karne hii kuna watu wanaoishi kwa kusikiliza maneno ya huko kitaa. Sitegemei yupo mtu wa jinsi hiyo. Tutoke huko sasa. Siogopi kufua nguo ya My Wife hata siku moja. Siogopi kupika ugali nimletee mezani hata siku moja. Tena yeye yupo hapo na mtoto wetu mchanga.
Usipovuka hapo, weye ni wa ajab saana. Mkeo ni mtu ka weye pia. Mnatoka asubuhi, mnaenda kazini, mnachoka wote kwenye foleni, iweje weye mmefika pamoja nyumbani ujilalie hapo, mwenzio ananyonyesha mtoto, weye unaogopa hata kuweka mboga jikoni ati ni kazi ya kike??
Basi hata kula iwepo na chakula cha kike. Tumeoana hakuna bora zaidi
Ukizungumzia wife kibongo bongo wapo wa dizain tofauti tofauti...Sio kila wife anastahili kufanyiwa upendo wa hivo, wale watoto waliokulia uswahilini hawakawilii kuona picha kali mkuu mangatara
What's wrong with it?? Love like you never loved before . Be happy like you never be happy before.. Because our days are by numbers . The time to Love and be Happy its now . Otherwise we will ending up by saying " If I knew it, if I knew it " . It will be too late by then.. Love is actions and Faith without action is dead.. Wakati unaokubalika ni now fellows .. Do right, Love right and Pray right. Remember happiness is what is inside of you. Thanks..
Hujambo??
Kila mmoja wetu hujisika raha pale anapojua kuwa kuna mtu ambaye anamjali, kumthamini na kutambua uwepo wake hapa duniani na hapo ndipo zinapojengeka nguzo imara za penzi ni ukatili ulioje ukimuoa kipenzi cha roho yako akiwa hajiwezi kitandani.
Alafu wewe unagoma hata kumsaidia kumfulia nguo ni ukatili ulioje kwa yule uliyekuwa unadai kuwa huwezi kuishi bila yeye lakini leo hii anaumwa unashindwa hata kumsindikiza kumpeleka hospitali kwa sababu watu watakucheka.?
Mapenzi ni ya wawili
Sijambo dear. Asante kwa kuni holla .. Be blessed . Thanks..
Huko kula udongo on behalf ni changamoto aiseeMapenzi ni kitu kingine ero! Wenzio wanavimba viguu na kula udongo on behalf sembuse hii kufua tu? Jambo lolote litakalofanywa chini ya shinikizo ni batili, hata kama ni kupenda kwa kulazimishwa/lazimisha!