Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

ni sawa tu, ingekuwa si sawa basi madobi wa kiume wangefua za kiume tu, kwa kuwa hakuna madhara yoyote kwamba ukifua utabadilika jinsia mie naona haina tatizo.

Dobi yuko ki kazi zaidi akiremba atarudi kijijini akalime.
 
yaani hizi fikra za dot.com zinawafanya baadhi ya wanawake kukwepa majukumu yao, eti anafurahia mwanaume kumfulia nguo anasahau kuwa na yeye pia anajidhalilisha kwa kuwa na mwanaume anayeonekana kituko mbele ya jamii kwa maana hayo sio mapenzi bali ni ubwege wa hali ya juu...

Wanaume wenye chembe chembe za umario ndio wanaona hakuna ubaya kumfulia nguo mwanamke,..
 
ahahahahahhaaaaaaaaaaaa_another man.

Maisha ya zamani hata wazee walisaidiana kazi sio kumfanya mwanamke kuwa mtumwa wako eti kwasababu ni mke lazima kazi zote hazifanye.

swissme
 
Maisha ya zamani hata wazee walisaidiana kazi sio kumfanya mwanamke kuwa mtumwa wako eti kwasababu ni mke lazima kazi zote hazifanye.

swissme

Kusaidiana sawa,ila naona hapa kuna kila dalili ya umario kwa hao wanaowafulia nguo wanawake.
 
I don't know how to explain to you by the way. Unaweza lakini sio kwa kulazimishwa my be she's doing something else or she's sick just like that.but not by force

swissme

At least.
Without reasonable excuse, once again i say NO.
 
acha ushamba wako: dunia ya leo unajiuliza ni sawa fulani kumfanyia fulani? Ishi na tembelea jamii mbalimbali utajua ni sawa. Tena bila hata ya kuumwa mwanaume anafua kwa roho nyeupe it al depends na amezoaje alivyokuwa na amekuwa exposed kiasi gani na anafanya kwa nia gani . Period

Huku ni kushikwa na mkeo,mwanaume lazima afuliwe nguo na mkewe
 
Mkuu achana na haya mambo. Nyumba zina mambo mengi. Ina maana wewe huwezi mfulia mkeo nguo?
Yawezekana anaumwa
Au yawezekana huyo mwanaume yupo kazini yaani DOBI
Conclusion it depends on the situation. ( Mimi huwa nikiwa naumwa au kipibdi mjamzito au nimejifungua huwa ananifulia)

Yapaswa ushukuru sana kwa kweli maana kuna wenzako mpaka wanafikisha miaka 80 hawajawahi fuliwa
 
yaani hizi fikra za dot.com zinawafanya baadhi ya wanawake kukwepa majukumu yao, eti anafurahia mwanaume kumfulia nguo anasahau kuwa na yeye pia anajidhalilisha kwa kuwa na mwanaume anayeonekana kituko mbele ya jamii kwa maana hayo sio mapenzi bali ni ubwege wa hali ya juu...

Pole dot.com hawaishi kwa ajili ya kuimpress jamii wanaishi kwa ajili ya mambo yao tu. Mambo ya kuangalia jamii yalishaisha kitambo
 
Wanaume wenye chembe chembe za umario ndio wanaona hakuna ubaya kumfulia nguo mwanamke,..

Ha ha haaa kabisa aisee yaani umenipa picha aisee, kwa maana wao majukumu yanayotakiwa kufanywa na mwanaume wanataka wayapate kutoka kwa mwanamke na hivyo hivyo majukumu ya mwanamke wanayafanya wao.
 
Maisha ya zamani hata wazee walisaidiana kazi sio kumfanya mwanamke kuwa mtumwa wako eti kwasababu ni mke lazima kazi zote hazifanye.

swissme

Kukusaidia kazi si lazima nikufulie.

Ni lazima kuwe na mipaka ktk kusaidiana huko. eti uko bize or uvivu tu nijidai nakupenda sana nikufulie!!!!!! HAPANA.
 
Kukusaidia kazi si lazima nikufulie.

Ni lazima kuwe na mipaka ktk kusaidiana huko. eti uko bize or uvivu tu nijidai nakupenda sana nikufulie!!!!!! HAPANA.

Maisha kusaidiana jamani.Kwani ukifua uanaume wako unabadilika?
 
Pole dot.com hawaishi kwa ajili ya kuimpress jamii wanaishi kwa ajili ya mambo yao tu. Mambo ya kuangalia jamii yalishaisha kitambo

Suala siyo ku impress jamii, suala la msingi ni vipi unaishi kwenye jamii maana hauishi kwenye vacuum hivyo basi suala la jinsi gani unaishi kwenye jamii halitakuja kuisha milele.
 
Kukusaidia kazi si lazima nikufulie.

Ni lazima kuwe na mipaka ktk kusaidiana huko. eti uko bize or uvivu tu nijidai nakupenda sana nikufulie!!!!!! HAPANA.
Ulishawahi kuosha vyombo.

swissme
 
Inategemea, kutokana na wakati na hali, inawezekana mke mgonjwa, majukumu yamemzidi, n.k. sio vibaya kumsaidia ila huyo wa kwako inaelekea alikuwa anafua kwa kulazimishwa na ndio maana alipokuona akajisikia aibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom