everlenk
Safi sana na hongera kwa kunyambulisha na kuangalia pande zote mbili.Mapenzi ni kusaidiana, i do agree. Lipi la kusaidiana hapo kuna utata. Ni mbaya sana kwa me kumfulia ke wake bila sababu za msingi, kati ya hasara za kufanya hivyo, nyengine umeshazielezea hapo juu.
On other hand unaweza kumfulia mtu kwa kile kimuhemuhe cha mapenzi (kwa kawaida kinakuja mda mfupi na kutoweka) pia ukiacha tu kumfulia unamskia mwenzio anakwambia umebadilika! We are human, we are flexible, ni ke wangapi wanatambua hilo?
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mbona nahisi ni part ndogo tu kwa life ya mtu, ukitaka kuyakuchukulia kama zile filamu yatakushinda, mimi napenda tena napenda sana, lakini bado kumfulia ke huko mbali sana, kwangu excuse ni moja tu AUMWE.
Ingawa bado sijaoa but najikuta nikikataa baadhi ya mambo ya hao nanii wangu, eg: m1 alipenda nimbebee kikoba chake wakati tunatembea, mwengine anapenda kupigiwa simu, usipopiga siku moja tu gubu lake usiombe, nk. nk. may be mapenzi siyajui. But kwangu ni lazima kuwe na mipaka kwa baadhi ya mambo, kumfulia wife bila dharura haijakaa vyema hiyo.
Thanks.