Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Je, ni sawa mwanaume kumfulia nguo mwanamke?

Yeah! Obviously, you have such kind of duty. you will see how i care when you have a reasonable excuse. otherwise why dont you wash ba yourself?

Hiki kingereza wakati ulinitorosha kwetu nikiwa form one na ukizingatia nimesoma shule za kata....🙁
 
Wanaume wa karne hii sasa mnataka kupitiliza hata huo 'umwinyi'! kuna tatizo gani kumfulia nguo mwanamke anaekujua wewe ukiwa mzima na mgonjwa? Hujui mwanamke ndo starehe yako...wewe unamchosha afue zako, za kwake, za watoto apike afanye na usafi mwisho wa siku bado unataka game ya hatari? We mfanyishe mikazi kama yaya wa kwa muhindi then uone kama hajalala kama gogo kunako sita kwa sita!
 
Mi huwa nafua tena sana sababu kubwa ni kwamba mke yupo busy kuliko mimi na tumejiwekea utaratibu nguo zetu zisifuliwe na msichana wa kazi, kwa hiyo nikikuta kapu limejaa nguo nazifua kama kawa na sichagui eti ya ndani au ya nje nafua zote mradi ni nguo.
 
Sitegemei, na haitotekea nimefua nguo za mama josephat. labda nirogwe niwe nchizi.
 
Mi huwa nafua tena sana sababu kubwa ni kwamba mke yupo busy kuliko mimi na tumejiwekea utaratibu nguo zetu zisifuliwe na msichana wa kazi, kwa hiyo nikikuta kapu limejaa nguo nazifua kama kawa na sichagui eti ya ndani au ya nje nafua zote mradi ni nguo.

Nimekupenda bure
 
me naona sawa so long kaamua mwenyewe na mapenzi yake.........nanifanya nimkumbe yuleeeeeeeeeeeeeeeee:love::love:
 
Kawaida sana mbona..... Hukuoa mke awe housegirl Yule uliamua kumfanya best friend na hatimaye bestfriends muishi wote co kumuona awe housegirl. Kusaidiana majukumu kunaongeza mapenz
 
Maswali mengine bana ni kama uulizwe,"Ni sawa barabara kupitisha magari?Who gives a shit anyway.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila mmoja wetu hujisika raha pale anapojua kuwa kuna mtu ambaye anamjali, kumthamini na kutambua uwepo wake hapa duniani na hapo ndipo zinapojengeka nguzo imara za penzi ni ukatili ulioje ukimuoa kipenzi cha roho yako akiwa hajiwezi kitandani.

Alafu wewe unagoma hata kumsaidia kumfulia nguo ni ukatili ulioje kwa yule uliyekuwa unadai kuwa huwezi kuishi bila yeye lakini leo hii anaumwa unashindwa hata kumsindikiza kumpeleka hospitali kwa sababu watu watakucheka.?

Mapenzi ni ya wawili
 
Kwanini?....kuna wakati mazingira yatakubidi ufanye kwa mtu unayempenda huwezi vumilia kumuona amezidiwa na shughuli na wewe upo tu huna kazi.

Excuse ni kuumwa tu. Kivipi kazi zimzonge? kwanini asipangilie wakati kufua unaweza kuhairisha hata siku tatu?
 
Daah umenifanya nicheke kwa nguvu hadi niliyekaa nae karibu kashangaa

Yaani mwanaume mzima umepita njiani sawa ila umeamua kumfuata na kumchungulia huu ni umbea uliokithiri
angemwagiwa maji ya moto angemlaumu nani ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom