Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

Kaka aaaanh aaaaanh. Usifike huko sasa. Sisi wanaume bwana. Kuwa na heshima bwana. Tuheshimiane bwana. M200 aaaaaanh. Tumekuheshimu tunachangia mada unapoelekea pabaya sasa.
Hilo Lina UKWELI,

Kuna wengine walimchangia kwenye kikundi Hadi ml 200 Eti Ili waje kulewa chakari siku ya harusi wakaambulia patupu!!
 
Kaka aaaanh aaaaanh. Usifike huko sasa. Sisi wanaume bwana. Kuwa na heshima bwana. Tuheshimiane bwana. M200 aaaaaanh. Tumekuheshimu tunachangia mada unapoelekea pabaya sasa.
Alikuwa mfanyabiashara don, alichangiwa na ma don wenzie!!
 
Back
Top Bottom