Je, ni salama kama ninavyodhania?

Nimeandika nimefuta nimeandika tena nikafuta

Inshort sina la kusema ila kama umemchoka mfukuze tu arudi kwao na si kumtafutia vijisababu vya kijinga ,mtu umchezee miaka 9 umemzalisha then unataka kumdump with no strong reason ,bro una akili kweli? nenda hospitali ukapimwe akili mkuu
 
Relax, Taarifa mbaya ni kuwa hatuna taarifa nzuri.

Mtu isipokufaa akili yako, utakudhuru Ujinga wako.

Hilo unalotaka kutoka kwake utalipata soon by Suprise, na unaonekana huna jeuri ya kumuacha.

Be a Man.
Au siyo mwanetu, bro kwangu mimi ni heri nitumie mara moja then nkipona ni zaidi ya Monster. Nampenda ndio ila huo udhaifu sina😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…