Relax, Taarifa mbaya ni kuwa hatuna taarifa nzuri.Nipeni tips nje na kudukua simu yake. Akiqualify naenda kutoa mahali sasa🏃.
Asanteni
Unanitisha mkuu ujue kuna manzi naona anazidi kunizima halaf mama yake ni mganga na ex hubby wake pia mganga?Baada ya miaka 9 unajiuliza yote hayo.
Huyo dada aje kwangu nimuelekeze kwa mganga akupe kisukari
Huyo Tunamwita "Baby With Woman "Baada ya miaka 9 unajiuliza yote hayo.
Huyo dada aje kwangu nimuelekeze kwa mganga akupe kisukari
Au siyo mwanetu, bro kwangu mimi ni heri nitumie mara moja then nkipona ni zaidi ya Monster. Nampenda ndio ila huo udhaifu sina😎Relax, Taarifa mbaya ni kuwa hatuna taarifa nzuri.
Mtu isipokufaa akili yako, utakudhuru Ujinga wako.
Hilo unalotaka kutoka kwake utalipata soon by Suprise, na unaonekana huna jeuri ya kumuacha.
Be a Man.
anachokitafuta atakipata vizuri tuHuyo Tunamwita "Baby With Woman "
Yaani Mzazi Mwenzake Wamesota Naye Na Anakili Kuwa Hajaona Tatizo Popote Ila Amekaa T*k* Moja Kumtafutia Nongwa Amwache
Watu Wanaishi Yaani Wakitafuta Tatizo Haa
... SIO KUROGWA NI LAANA! NA ITAMPATA!Miaka 9, umemchezea na kumzalisha, sahivi unadai umemchoka, unatafutiza sababu ili upate chance ya kumfukuza? Unatafuta kurogwa?