Wakuu habari za siku kidogo.
Nina muda kidogo sjaandika thread ila nipeni tips katika hili nalo taka kushare nanyi, naamini hapa kuna wajuvi na watu wenye experience za kutosha.
Nitangulize tu kusema by nature sie wanadamu haturidhiki na tunapenda heka heka sometimes.
Yes, Nina mahusiano ya muda mrefu sana about 9 years now, na niseme tu namuangalia kama mke ila deep down Kuna jambo nawaza ni kweli hajawahi katwa?? Yes nlimkuta bikra but it's doesn't guarantee kwamba hawezi kuliwa, ila inapunguza na its worth kuoa bikra Asee, japo pia unaweza kuta mwanamke si bikra na anaweza kuwa mke mwema kabisa. KILA MMOJA ACHAGUE ANACHOONA SAHIHI
Back to the story, kwa kipindi chote sijawahi ona anacheat zaidi ya wale wanaomtongoza, nimechunguza kila mahali nimeweka apps znazosave taarifa angalau nijue nyendo zake but still sjaona wala kukuta chochote, yeye si mjuzi sana kuhusu simu janja ye anajua kuperuzi tu FB, TikTok, YouTube (movie), watsapp na IG nje na hapo hana matumizi mengine zaidi ya kuchart, kupiga na kupigiwa na hajui kuhusu application settings ye anaona kama apo nyingine kama Phoenix na vi app uchwara vinavyo appear kwenye infinix 😁.
Kuna muda najiuliza je ni mwaminifu kiasi iko navyodhania???😂😂 Kuhusu kupendwa wazee napendwa bana...
Muhimu zaidi nataka nipate tips za mwisho, nimechoka kuishi kwa kudhania, nataka kufumania nipate sababu ya maana; nimemiss kuwa single ili nipambane vizuri no drama, watoto wameshakua...
Nipeni tips nje na kudukua simu yake. Akiqualify naenda kutoa mahali sasa🏃.
Asanteni