Walivyo akili ndogo wengine kama Bashite washatibua mpaka wazungu, sijui watakimbilia wapi ?Ila kuna watu wataumia sana. Mbaya zaidi watakapoanza kushughulikiwa itaonekana kama watu wa kanda ya ziwa hasahasa wasukuma wanaonewa na Serikali: Ila sijui kwanini watu huwa hawaangaliagi mbali.
sijui watakimbilia wapi ?
Asee.Mwambie baba yako agombee awe Ana hutubia kikabila chako Kama inakuuma,rubbish ,ulitaka ahutubie kikwenu ,subiri muda wa kabila lako ukifika atahutubia kikwenu Kama kisukuma kinakuuzi,2020 utapata rais wa kabila lako usiumie Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo anakuwa anaongea na wasukuma mambo yahusuyo nchi? Au mambo ya kimila na matambiko?Mwambie anakera sana kwanza rais mwenyewe huwa anahutubia ki lugha akiwa kanda ya ziwa ambayo 80% ni wasukuma
Na mkewe Mseveni ni waziri wa Elimu wa Uganda.Muse7 hko mtoto wke ndy mshauri wake mkuu?this is africa mzee baba ?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hoja imezunguka mno lakini hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuitolea ufafanuzi humu jf wala Habari maelezo , wala mkubwa mwenyewe hajawahi hata kukohoa kuhusu hili , ni ngumu kumezaWadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Hii hoja imezunguka mno lakini hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuitolea ufafanuzi humu jf wala Habari maelezo , wala mkubwa mwenyewe hajawahi hata kukohoa kuhusu hili , ni ngumu kumeza
umeandika kizembe sana ! wewe ni mwalimu wa shule ya msingi ?
Thank you sir .Gambia's Justice Minister, Abubacarr Tambadou, has revealed that the country's ex-president Yaya Jameh stole $50 million dollars before leaving office.
He says Jameh stole the money via the country's telecoms company.
Jameh fled for exile in Equatorial Guinea in January after 22 years in power.
The court has frozen all Jameh's assets that are still left in the Gambia.
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Wasiwasi wangu ni siku Magu akitoka Madarakani tu,isije kua ni zamu ya bwn Dotto kuanza kusumbuliwa na makesi ya kutosha.
Hahah naona wadau mnamsubiri kwa hamu balaa.Mkuu hakuna jinsi lazma uhujumu uchumi kule mahakama aliyoanzisha mjomba yamkumbe
Una uhakika ni mpwa wake, au na wewe umekariri propaganda?
Hahah naona wadau mnamsubiri kwa hamu balaa.
Sijui atajiteteaje huko hadi aeleweke.
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Mwambie anakera sana kwanza rais mwenyewe huwa anahutubia ki lugha akiwa kanda ya ziwa ambayo 80% ni wasukuma