Je, ni sahihi mpwa kuwa paymaster general wa Serikali?

Rais wa South Korea aliyeondolewa mamlakani Park Geun-hye ameshtakiwa rasmi kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini.
 
Gambia's Justice Minister, Abubacarr Tambadou, has revealed that the country's ex-president Yaya Jameh stole $50 million dollars before leaving office.

He says Jameh stole the money via the country's telecoms company.

Jameh fled for exile in Equatorial Guinea in January after 22 years in power.

The court has frozen all Jameh's assets that are still left in the Gambia.
 
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?
Hii hoja imezunguka mno lakini hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuitolea ufafanuzi humu jf wala Habari maelezo , wala mkubwa mwenyewe hajawahi hata kukohoa kuhusu hili , ni ngumu kumeza
 
Thank you sir .
 
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa anastahili kitaaluma na uzoefu (japo kuna mashaka) lakini kimaadili hili limekaaje?

Mkuu Huyu dogo Dotto james bora atafute mapema pa kukimbilia maana mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi Dec 2025 yanamsubiri na hakwepi mfueni za kumtosha, mjomba yeye ana kinga ila dogo namuonea huruma.
 
Hahah naona wadau mnamsubiri kwa hamu balaa.

Sijui atajiteteaje huko hadi aeleweke.

Anakaa ndani miaka mitano wakati tunaendelea na uchunguzi halafu ushahidi unakuja kwa maboksi kumi yaliyojaa
 
Wewe ni taahira hii nchi ina makabila mengi syo wasukuma tu, ajifunze kwa watanguliz wake hawakuwa wakabila na hawakuhutubia kikabila
 
Back
Top Bottom