Je ni sahihi kusema asante baada ya kukumbatiwa?

Je ni sahihi kusema asante baada ya kukumbatiwa?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
kuna dada mmoja tulipotezana kwa muda mrefu, so tukakutana hivi karibuni tukakumbatiana ( bear hug) cha ajabu baada hug akaniambia ASANTE huku akiniangalia machoni, sijawahi kuambiwa asante katika kitendo kama hicho, je ni sahihi wadau kusema asante au kuambiwa asante baada ya kukumbatiana?
 
Kwani mkuu wewe unaonaje
Nadhani hakuna shida yoyote.
 
kuna dada mmoja tulipotezana kwa muda mrefu, so tukakutana hivi karibuni tukakumbatiana ( bear hug) cha ajabu baada hug akaniambia ASANTE huku akiniangalia machoni, sijawahi kuambiwa asante katika kitendo kama hicho, je ni sahihi wadau kusema asante au kuambiwa asante baada ya kukumbatiana?
Aaah, mkuu, sema tu ukweli kwamba umemfeel sana huyo mtoto, unataka wadau wakuinkareji kwamba nae anakuzimia ili ujastifai adhima yako ya kuomba mzigo.
 
Labda huyo dada hug kwake ni msaada... Au kitu adimu..
Chukulia poa tuu haina haja ya kuumiza kichwa..
 
kuna dada mmoja tulipotezana kwa muda mrefu, so tukakutana hivi karibuni tukakumbatiana ( bear hug) cha ajabu baada hug akaniambia ASANTE huku akiniangalia machoni, sijawahi kuambiwa asante katika kitendo kama hicho, je ni sahihi wadau kusema asante au kuambiwa asante baada ya kukumbatiana?
Labda kakubali na kuridhika na tendo hilo nyeti mlilolifanya ....
Nimeona mara kadhaa si kwa kukumbatia tu hata kumbusu mtu hutoa asante. Ila usifikiri kuwa kwa kusema hivyo ndo kakuzimikia au kafa juu yako, ukiamini hivyo utakuwa umekosea sana. Unaweza ukamtokea kwa mawazo kuwa amekufia ukapigwa ukaishia kupigwa kibuti kibaya cha mbavu!
 
mi hata nkipewa mkono tu huwa nasema wabheja mayo! ni ustaarabu wa mtu asante kwake ni neno jepesi so usishangae!
 
Huyo itakuwa amezoea kuona hug kwenye Tamthilia tuu..!

Mmmh... Kuna watu wanakaa miaka hawajakumbatiwa..! Lol Sasa kupata bahati hiyo kwa nini asiseme asante..!!
 
Mbona ni jambo la kawaida sana hilo.tatzo we mawazo uliisha yahamishia kwenye kugegeda,ndo maana unaona ajabu.
 
Sie kwetu ukikumbatiwa unasema asante na unasindikizia na goti. Heshima debe. Ni utamaduni tu.
 
Sie kwetu ukikumbatiwa unasema asante na unasindikizia na goti. Heshima debe. Ni utamaduni tu.

hahahahaha wapi huko King'asti? Mbeya, iringa, Ruvuma maana hao watu nimekaa nao kwenye kukumbatiana wako juu sana kuliko kanda zingine
 
Back
Top Bottom