MI hata kusalimiana sitaki aisee...... Kila mtu aendelee tu mambo yake..... Sema aliona aibu Sana situation ilitokea tuna substitute lecture room ye anatoka mi naingia..... Du sio kwa kuinamisha shingo kuleTumeshaachana sasa tumekutana tunafanya nini?
Namsalimia naendelea na manbo yangu tena sitajali ameitikia au la bora amesikia nimesalimie basi maisha yanaendelea
Kabisa mkuu...... Hapa inatakiwa kujikaza Sana ili kwa vyovyote vile usijaribu kurudiana nae tena...... Kila mtu afanye yake tu though kila siku mnaonana...... Binafsi sikutaka hata kusalimiana... Nilijua nakoseaUsikubali moto ukuchome x2 no matter what
Salam haina neno bora umesalimia amekataaa kujibu its okay na hakuna kulazimishanaMI hata kusalimiana sitaki aisee...... Kila mtu aendelee tu mambo yake..... Sema aliona aibu Sana situation ilitokea tuna substitute lecture room ye anatoka mi naingia..... Du sio kwa kuinamisha shingo kule
Kama Wwe ulitambua kwamba ulimkosea ni sawa ata mimi naweza kusamehe ex wangu akigundua alinikoses Kwan mi Nani..... Lkn wengin du..... Huyu mi siweziMe karibu wte nlioachana nao uwa nachat nao vzuri sn...tena kuna uyo mmoja ambae nlimtendea vbya sn mpk nikaona aibu kuwasiliana nae lkn yy ameshanisamehe na tunawasiliana mara nyingi sn na tunasaidiana mambo mbali mbali
Hata Kama wewe ndo uliachwa tena na mitusi af bila sababu ya msingi [HASHTAG]#witnessj[/HASHTAG]Yaaan mi tukiachana unakuwa kama kaka angu vile