Je, ni nini kilitokea baada ya kukutana na mpenzi aliekuacha?

marigy

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
341
402
Watu wanapokuwa kwenye mahusiano hasa mwanzoni huwa na furaha sana, lakini kadri siku zinavoenda mbele inaweza tokea mmoja kati yenu akaanza kuyumbisha mahusiano yenu kwa sababu anazozijua yeye.

Japo wewe huwezi mwelewa kwa sababu yoyote ile ya kutetelesha uhusiano wenu hasa kama unampenda kweli. Sasa inapotokea mtu wako unaempenda akakuacha /kukusaliti Mara nyingi huu muda wa yote haya mnakuwa hamuonani face to face zaidi ya huku kuachwa kujulishwa kwenye simu.

Muda mwingine na matusi juu alafu bila kosa labda ulijaribu hata kuomba mmeet lakini mwenzio wapi hataki mwisho unakubali matokeo kwamba wacha ibaki story. Mara inatokea huyu ex wako unakuja kuonana nae paaa! Huyu hapa distance 0 kabisa, je utafanya nini?

Na kama umewahi kutana na hili jambo ulifanyaje? Na huyu mtu kwa mazingira mliopo inaonesha mtakuwa mnaonana mara nyingi tu, mfano chuoni.

Karibu tubadilishane mawazo hapa kwa me na ke hi inakuwaje?
 
Tumeshaachana sasa tumekutana tunafanya nini?

Namsalimia naendelea na manbo yangu tena sitajali ameitikia au la bora amesikia nimesalimie basi maisha yanaendelea
 
Hahaahaha Kwani ugomvi? Maisha lazima yaendelee, mnakutana mnaongea na kupanga deal nyingine, siku mkitaka kufanya "birthday" mnafanya na Maisha lazima yaendelee.

Sikumbuki kuachana na mtu kwa ugomvi, Labda upande wake, not me!! Hivi nyie Vijana mkianza kununiana kwa dunia ya Leo, si utajikuta kila mtu unamnunia?? Maana mna partners kibao...
 
Tumeshaachana sasa tumekutana tunafanya nini?

Namsalimia naendelea na manbo yangu tena sitajali ameitikia au la bora amesikia nimesalimie basi maisha yanaendelea
MI hata kusalimiana sitaki aisee...... Kila mtu aendelee tu mambo yake..... Sema aliona aibu Sana situation ilitokea tuna substitute lecture room ye anatoka mi naingia..... Du sio kwa kuinamisha shingo kule
 
Usikubali moto ukuchome x2 no matter what
Kabisa mkuu...... Hapa inatakiwa kujikaza Sana ili kwa vyovyote vile usijaribu kurudiana nae tena...... Kila mtu afanye yake tu though kila siku mnaonana...... Binafsi sikutaka hata kusalimiana... Nilijua nakosea
 
Me karibu wte nlioachana nao uwa nachat nao vzuri sn...tena kuna uyo mmoja ambae nlimtendea vbya sn mpk nikaona aibu kuwasiliana nae lkn yy ameshanisamehe na tunawasiliana mara nyingi sn na tunasaidiana mambo mbali mbali
 
MI hata kusalimiana sitaki aisee...... Kila mtu aendelee tu mambo yake..... Sema aliona aibu Sana situation ilitokea tuna substitute lecture room ye anatoka mi naingia..... Du sio kwa kuinamisha shingo kule
Salam haina neno bora umesalimia amekataaa kujibu its okay na hakuna kulazimishana

Inabidi akubaliane na hali halisi
 
Wanawake wote nlioawahi kuwa nao tuliachana kwa wema kabisa,hakuna ugomvi,tunasaidiana na kushirikiana mambo mbalimbali.ni limbukeni pekee anayeweza kuwa na beef na mpenzi walieachana bila kuwa na sababu ya msingi
 
Me karibu wte nlioachana nao uwa nachat nao vzuri sn...tena kuna uyo mmoja ambae nlimtendea vbya sn mpk nikaona aibu kuwasiliana nae lkn yy ameshanisamehe na tunawasiliana mara nyingi sn na tunasaidiana mambo mbali mbali
Kama Wwe ulitambua kwamba ulimkosea ni sawa ata mimi naweza kusamehe ex wangu akigundua alinikoses Kwan mi Nani..... Lkn wengin du..... Huyu mi siwezi

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom