marigy
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 341
- 402
Watu wanapokuwa kwenye mahusiano hasa mwanzoni huwa na furaha sana, lakini kadri siku zinavoenda mbele inaweza tokea mmoja kati yenu akaanza kuyumbisha mahusiano yenu kwa sababu anazozijua yeye.
Japo wewe huwezi mwelewa kwa sababu yoyote ile ya kutetelesha uhusiano wenu hasa kama unampenda kweli. Sasa inapotokea mtu wako unaempenda akakuacha /kukusaliti Mara nyingi huu muda wa yote haya mnakuwa hamuonani face to face zaidi ya huku kuachwa kujulishwa kwenye simu.
Muda mwingine na matusi juu alafu bila kosa labda ulijaribu hata kuomba mmeet lakini mwenzio wapi hataki mwisho unakubali matokeo kwamba wacha ibaki story. Mara inatokea huyu ex wako unakuja kuonana nae paaa! Huyu hapa distance 0 kabisa, je utafanya nini?
Na kama umewahi kutana na hili jambo ulifanyaje? Na huyu mtu kwa mazingira mliopo inaonesha mtakuwa mnaonana mara nyingi tu, mfano chuoni.
Karibu tubadilishane mawazo hapa kwa me na ke hi inakuwaje?