Je, ni nini kilichopo nyuma ya pazia ya teuzi ubunge viti maalumu CHADEMA

Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.

Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki
Sasa kuwa na amani sheria imeshatungwa. Jaji MUTUNGI atawanyoosha.
 
Eti Wema angekubali kutoa chini,you sound so sick. Wema akatae kutoa chini?since when? Tena akatae na offer ya uheshimiwa on the table? Try a different story, this cheap shit doesn't hold water.
Afadhali hata hiyo story mliyomuwekea jela ya kwamba kampiga risasi Aquilina lakini siyo hii ya Wema.
Alimktaaa au umesahau video clip ya Mheshimiwa sana aliyokuwa ananyenyekea hadi huruma!
 
Mzee wa fly to Kia ni hatari sana. Anaonekana mtongozaji mzuri sana, kuweza kuwakamata kiakili maelfu ya wavaa kombati sio shughuli ya kitoto.
 
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.

Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki
Kwenye hiyo listi hapo juu umemsahau Joyce Mukya aka Mama Freelady Mbowe(Mtoto wa Freeman).
Dr. Lilian Mtei Mungu aendelee kukupigania na watoto wako. Hakika mabaya aliyokufanyia Kamanda yanalipwa hapa duniani.
Kwa ukarimu wako bado unampelekea Uji na visheti Segerea. Mungu akubariki sana.
Huku Joyce Mukya anakula bata tu na Vicent hakumbuki hata kumpelekea Colgate kamanda Segerea.
Wanaume tuwaheshimu sana na kuwajali wake zetu. Hii mipango ya kando iko kimaslahi zaidi tuishi nayo kwa akili za hali ya juu.
Eeh Mweyezi Mungu watie nguvu na mioyo ya Subira wake zetu. Maana ni Wewe tu unayejua Uchungu na magumu wanayopitia katika maisha ya kila siku.
 
Nimejarb kumfuatilia Huyu bwana msuya mpare uchwara nmegundua ni ccm buku saba yuko kazn hana akili kabixa,bora mzazi amgepiga punyeto kuliko kumzaa mpumbv kama ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu embu jibu hoja acha kutukana nimetoa baadhi ya watu waliosemekena kutembea na kamanda mbowe na kupewa vyeo ili upinzani uweze kusonga mbele unatakiwa kuwa na siasa safi ili kuweza kuaminiwa na wananchi
 
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.

Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki
sasa wewe nini kinakusu hapo, kwanza dada yako alikuwa wana chadema akaombwa ngono, pili wewe mweyewe umeombwa ngono, tatu mwanao wa kike ameombwa ngono na wakuu wa chadema, na je nani kalazimisa yeyote kuwa mwanachama wa chadema, bona unamuharibia jina mbowe huku ukijificha kwa jina bandia, au ulitaka kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu ukakosa nafasi ndio unachafulia mbowe jina hapa, na hata sijui kwanini JF ikaweka mada kaa hii hapa,wewe naona badala ya kuwa na akili kichwani unakuwa na uji, au uliomba hao wabunge wa chadema ngono wakakataa, ndio unakuja toa machungu hapa, tumia akili sio uji.
 
Waliwateua warembo lakini wengi ukiwatizama sasa hivi choka mbaya wamekomesha hadi basi wako waliowazalisha,wako waliowafanyia cha kuwafanyia kibaya sasa hivi ukiangalia picha za wakati wakipewa teuzi na hali yao ya sasa utawaonea huruma.Wako wengine wanaumwa wakati kabla ya uteuzi walikuwa vizuri tu teuzi zimewafikisha kwenye mdomo wa shetani wa maradhi mabaya.Mzee mmoja aliwahi sema usijejilaumu mwanamke kama Mungu kakuumba na sura baya sana mshukuru huwezi jua kuwa alikuumba hivyo na lisura baya ili uishi miaka mingi usije kufa njiani kwa ukimwi kwa kugombaniwa na mianaume mikware yenye pesa,madaraka na umaarufu inayopenda warembo iliyojaa ukimwi hadi kwenye kope ikakuambukiza na kukuua kwa ukimwi mapema.
unataka sema matajiri ndio pekee wako na ukimwi, na tena kila siku warembo huzeeka, hata kaa ni mama au mke wako
 
sasa wewe nini kinakusu hapo, kwanza dada yako alikuwa wana chadema akaombwa ngono, pili wewe mweyewe umeombwa ngono, tatu mwanao wa kike ameombwa ngono na wakuu wa chadema, na je nani kalazimisa yeyote kuwa mwanachama wa chadema, bona unamuharibia jina mbowe huku ukijificha kwa jina bandia, au ulitaka kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu ukakosa nafasi ndio unachafulia mbowe jina hapa, na hata sijui kwanini JF ikaweka mada kaa hii hapa,wewe naona badala ya kuwa na akili kichwani unakuwa na uji, au uliomba hao wabunge wa chadema ngono wakakataa, ndio unakuja toa machungu hapa, tumia akili sio uji.
mkuu acha kuongea vitu kwa mihemko
kwanza kutokuwa mwanachama wa chadema hakunizuii kupinga udhalilishaji wa kigongono au rushwa ya ngono kwani rushwa ni adui wa haki
pili sijajificha nyuma ya jina bandia kama unafavyofanya wewe kwa sababu naamini nachokifanya ni sahihi detail zangu ni sahihi ndo maana ni verified user kama umejiunga juzi jf elimu nakupa
tatu simchafui mbowe bali naongea ukweli kwani ni uongo mbowe ajazaa na joyce mukya na kumpa cheo ajatembea na grace kiwelu,sophia hatau na chiku kiwelo na kuwapa vyeo sasa nikiongea vitu vya kweli namchafua? Chadema ni taasisi kubwa zaidi ya mbowe ili chadema ifanikiwe kisiasa inapaswa kwanza kujisafisha na kufanya siasa safi wahuni kama mbowe wanapaswa wakae pembeni
 
Hawa jamaa walinikera walipopata viti maaulumu vingi wakaanza kuteuana kwa chupi na ushemeji na udada.

Lissu ana bwabwaja huko wakati dada yake aliteuliwa kuwa viti maalumu ubunge kwa sababu za udada,

Zitto naye dada yake aliteuliwa ubunge maalumu kwa sababu udada. Mbowe ndio usiseme kajaza chadema viti maalumu wachaga na watu wake.

Baada ya kuja kulitambua hilo hapo hapo niliacha kufuatilia siasa za Chadema.
siutengeneza chama chako ndio uwe unateua dada zako, na wake zako
 
mkuu acha kuongea vitu kwa mihemko
kwanza kutokuwa mwanachama wa chadema hakunizuii kupinga udhalilishaji wa kigongono au rushwa ya ngono kwani rushwa ni adui wa haki
pili sijajificha nyuma ya jina bandia kama unafavyofanya wewe kwa sababu naamini nachokifanya ni sahihi detail zangu ni sahihi ndo maana ni verified user kama umejiunga juzi jf elimu nakupa
tatu simchafui mbowe bali naongea ukweli kwani ni uongo mbowe ajazaa na joyce mukya na kumpa cheo ajatembea na grace kiwelu,sophia hatau na chiku kiwelo na kuwapa vyeo sasa nikiongea vitu vya kweli namchafua? Chadema ni taasisi kubwa zaidi ya mbowe ili chadema ifanikiwe kisiasa inapaswa kwanza kujisafisha na kufanya siasa safi wahuni kama mbowe wanapaswa wakae pembeni
mkuu toa ushahidi ya kuwa mbowe amefanya ngono na hao uliowataja
 
oky kumbe wewe ni ccm, pole sana hata nilikuwa sijui hilo, kwanza kamufundise baba yako jiwe jinsi ya kuongea english pls
 
Back
Top Bottom