Je, ni nini kilichopo nyuma ya pazia ya teuzi ubunge viti maalumu CHADEMA

oky kumbe wewe ni ccm, pole sana hata nilikuwa sijui hilo, kwanza kamufundise baba yako jiwe jinsi ya kuongea english pls
mkuu kiingereza ni lugha kama kiswahili kwa hiyo kiingereza sio kitu bali ni uwezo wa kuchanganua mambo angalia china hawaongei kiingereza urusi ujerumani italy frace wote hawaongei kiingereza so kiingereza sio kitu kikubwa tusiwe na mawazo ya ukoloni wa kudhamini cha nje kuliko cha ndani ndo nyie mnaona mtumba ni bora kuliko nguo mpya kisa kavaa mzungu
 
Nyie mafisiem hamchoki kumuandama Mbowe. Mtu mumemweka jela bado haitoshi? Mumevunja club yake, mumeharibu shamba lake, mumemsingizia kuwa ni mvuta bangi, mumembambikizia kodi za ajabu, mumemweka jela bila sababu mkiwaacha wauaji wanatembea!
God is the judge! I am waiting for some ccm leaders to face God's anger for their dids!!!!!
 
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.

Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki
Another wasted sperm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hata wema alirudi ccm baada ya kugegedwa na mwenyekiti?juliana alipewa kwa kuwa ni chakula cha mwenyekiti ccm? Tena na uwaziri kapewa kwa sababu alikubali hadi kuzibuliwa?mkuu wa wilaya kisarawe nae kapewa ukuu kwa kuwa mwenyekiti alimfanya msosi??? Kama ndivyo basi hawa wenyeviti ni vidume kwelikweli.hongera zao wenyeviti ccm na cdm.
 
Hawa jamaa walinikera walipopata viti maaulumu vingi wakaanza kuteuana kwa chupi na ushemeji na udada.

Lissu ana bwabwaja huko wakati dada yake aliteuliwa kuwa viti maalumu ubunge kwa sababu za udada,

Zitto naye dada yake aliteuliwa ubunge maalumu kwa sababu udada. Mbowe ndio usiseme kajaza chadema viti maalumu wachaga na watu wake.

Baada ya kuja kulitambua hilo hapo hapo niliacha kufuatilia siasa za Chadema.

Tuweke list ya wachaga viti maalum cdm walowekwa na mbowe, bila kusahau teuzi za wasukuma waliowekwa na jiwe ktk nyanja tofauti kuanzia ubunge,uwaziri u CEO, wenyeviti board za taasisi nk.
 
Hakukuwa na nafasi wazi ya viti Maalumu lakini si uliona wakware walivyokuwa wanamng'ang'ania kama Luba? Mbowe na Godbless Lema walivyokuwa wakijigonga gonna kujionyesha nani anamjali wema kuliko mwingine? Mpaka wengine tikajisemea muda wowote ngumi zaweza pigwa kati ya Mbowe na Godbless Lema.Godbless Lema hajaenda hata kumuona Mbowe rumande ana kinyongo sababu Mbowe alikuwa karibu na wema kuliko yeye pamoja na kuwa Lema alikuwa akijilipia hadi ticket za ndege toka arusha kuja kwenye kesi za Wema dar es salaam.

Thibitisha maneno yako
 
Waliwateua warembo lakini wengi ukiwatizama sasa hivi choka mbaya wamekomesha hadi basi wako waliowazalisha,wako waliowafanyia cha kuwafanyia kibaya sasa hivi ukiangalia picha za wakati wakipewa teuzi na hali yao ya sasa utawaonea huruma.Wako wengine wanaumwa wakati kabla ya uteuzi walikuwa vizuri tu teuzi zimewafikisha kwenye mdomo wa shetani wa maradhi mabaya.Mzee mmoja aliwahi sema usijejilaumu mwanamke kama Mungu kakuumba na sura baya sana mshukuru huwezi jua kuwa alikuumba hivyo na lisura baya ili uishi miaka mingi usije kufa njiani kwa ukimwi kwa kugombaniwa na mianaume mikware yenye pesa,madaraka na umaarufu inayopenda warembo iliyojaa ukimwi hadi kwenye kope ikakuambukiza na kukuua kwa ukimwi mapema.
Maneno ya mkosaji, usitegemee upendwe na mbowe maana ana watoto wabichi syo kibibi kama wewe,hata pa kushika huna.
 
Mambo kama haya yanasahaulika wakati wa kampeni lakini ni muhimu kuelewa tuendako. Hiyo idai ya akina mama wa CDM kumbe siyo kwa ajili ya uwiano wa kijinsia?
 
Tatizo ni ufahamu wa viongozi wa CHADEMA. Ni chama kisicho na mfumo bali, kuna watu kama watatu ambao ndo wanaaamua nani apate nini na nani aondolewe.
 
Tatizo ni ufahamu wa viongozi wa CHADEMA. Ni chama kisicho na mfumo bali, kuna watu kama watatu ambao ndo wanaaamua nani apate nini na nani aondolewe.

Hahahaha ccm ya Sasa ikoje?
Si one man show
 
Tuweke list ya wachaga viti maalum cdm walowekwa na mbowe, bila kusahau teuzi za wasukuma waliowekwa na jiwe ktk nyanja tofauti kuanzia ubunge,uwaziri u CEO, wenyeviti board za taasisi nk.

Akikujibu nitag boss
 
Tuweke list ya wachaga viti maalum cdm walowekwa na mbowe, bila kusahau teuzi za wasukuma waliowekwa na jiwe ktk nyanja tofauti kuanzia ubunge,uwaziri u CEO, wenyeviti board za taasisi nk.
Tatizo ni kutaka kufanya ujinga kama mwingine alivyofanya. Kuna watu ujinga wao tumeuzoea na wengine mukiiga tunawapalaza!
 
Back
Top Bottom