Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

Ni swali tu maana wavaa ngwada wakitamkaga nchi yeyote ile uwa wanatamka huku mkubwa akiwa chini ya ulinzi Tayari,

Na ikitokea wakatamka kabla basi haichukui muda!

Nasisitiza HOTUBA YA KUANDIKA NA KUANDIKIWA INAJULIKANA

Britanicca
Samia kazi anayo mwaka huu
 
Bora JWTZ walikomboe taifa ,haiwezekani Muuza matairi kariakoo awe Acting DG-EYES ,"Dully" anafikia hatua ya kumuhonga DG_EYES_S? watoto wake wanashika USD laki 3 sawa na zaidi ya milioni 700 halafu wanaflip birds(Wanatuonyooshe dole la kati)wananchi wavuja jasho? Hizi ni "ZEREU" mtoto mdogo wa miaka 26 ana zaidi ya bilioni 25 Bank tena hiyo ni CRDB bado haujagusa account yake ya Absa! Halafu kwenye kampeni wanatuahidi kwamba maiti wataoa bure na watachimba makaburi kwa mashine means target yao ni kuteka na kuua watu.
 
mara ile kofia sio yenyewe haitambuliki
Hii hapa...
Fundi cherehani alikuwa amepiga visungura....

1759599900109.png
 
Jeshi ni taasisi pana sana na haiwezekani hata MI ya JWTZ ikamwachia Kapteni Tesha aende kusoma alokisoma.

JWTZ ipo nchi nzima ikilinda usalama wa nchi na mipaka yake.

Kuna nchi moja ya magharibi (jina kapuni) kuna kipindi ilipitia kipindi kigumu sana kiasi cha majenerali wa jeshi kwenda kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo na kumwambia usoni "Sir, we are ready to run the proceedings if need be otherwise stand firm to confront the problems facing the country".

Yule kiongozi mkuu aliposikia kauli ile alikuja na maamuzi magumu na utawala wake ukasalimika.

Hivyo JWTZ wana uwezo wa kufanya chochote endapo wana "intelligence" yote (kupitia Military Intelligence) kuhusu hawa wahuni na shughuli zao za "ad hoc" yaani shughuli maalum chafu lakini za muda mfupi.

Wahuni na makundi mengine yalotengenezwa tangia 2005 hadi 2015 shughuli zao za ad hoc wamenajisi taasisi hizi mbili muhimu na nyeti kwa nchi TISS na JWTZ.

Hapa tulipofika TISS wapo kwenye mtihani na JWTZ pia wapo kwenye mtihani, na uzito wa utii kwa amiri jeshi mkuu hauzidi uzito wa utii kwa bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi.
Maana yake ana baraka za wakubwa zake au napo pamegawanyika ?
 
N
Bora JWTZ walikomboe taifa ,haiwezekani Muuza matairi kariakoo awe Acting DG-EYES ,"Dully" anafikia hatua ya kumuhonga DG_EYES_S? watoto wake wanashika USD laki 3 sawa na zaidi ya milioni 700 halafu wanaflip birds(Wanatuonyooshe dole la kati)wananchi wavuja jasho? Hizi ni "ZEREU" mtoto mdogo wa miaka 26 ana zaidi ya bilioni 25 Bank tena hiyo ni CRDB bado haujagusa account yake ya Absa! Halafu kwenye kampeni wanatuahidi kwamba maiti wataoa bure na watachimba makaburi kwa mashine means target yao ni kuteka na kuua watu.
Nani huyo ana b 25 nimfuate sahiv mikajitoe mhanga
 
"Captain-Tesha makangembuzi" hili litakuwa jina la mwanangu wa kwanza.

Yahn TISS inaongozwa na tapeli muuza matairi kariakoo na magenarali wanaangalia hakika zarau zimezidi.

Wachaga kwa hili mpewe pongezi kijana kaonesha umuhimu wenu wa mkoloni kuwapa shule mapema.
Kaskazin hatokagi fala, ila nashangaa tu yule jamaa etu wa siha
 
Back
Top Bottom