Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

Tokea 2005 sijawahi ona wakati ambapo wananchi wameikataa serikali kama wakati huu, wakilazimisha hakika tutakoma

Waliikataa sana 2010 - 2015, utofauti ni kwamba walikua na imani kidogo na sabduku la kura, hivyo kila mtu anasubiri Uchaguzi ufike waipige chini CCM.

Sasa ishakua dhahiri kua uchaguzi hauna maana yeyote, Hivyo tumaini pekee ni maandamano
 
Jeshi ni taasisi pana sana na haiwezekani hata MI ya JWTZ ikamwachia Kapteni Tesha aende kusoma alokisoma.

JWTZ ipo nchi nzima ikilinda usalama wa nchi na mipaka yake.

Kuna nchi moja ya magharibi (jina kapuni) kuna kipindi ilipitia kipindi kigumu sana kiasi cha majenerali wa jeshi kwenda kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo na kumwambia usoni "Sir, we are ready to run the proceedings if need be otherwise stand firm to confront the problems facing the country".

Yule kiongozi mkuu aliposikia kauli ile alikuja na maamuzi magumu na utawala wake ukasalimika.

Hivyo JWTZ wana uwezo wa kufanya chochote endapo wana "intelligence" yote (kupitia Military Intelligence) kuhusu hawa wahuni na shughuli zao za "ad hoc" yaani shughuli maalum chafu lakini za muda mfupi.

Wahuni na makundi mengine yalotengenezwa tangia 2005 hadi 2015 shughuli zao za ad hoc wamenajisi taasisi hizi mbili muhimu na nyeti kwa nchi TISS na JWTZ.

Hapa tulipofika TISS wapo kwenye mtihani na JWTZ pia wapo kwenye mtihani, na uzito wa utii kwa amiri jeshi mkuu hauzidi uzito wa utii kwa bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi.
 
Back
Top Bottom