JE NI KWELl JAMII FORUMS IMEPOTEZA UMAARUFU?

Nauliza tu.
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?

Mikela's Join Date is Fri Feb 2010.........JF ipo toka 2006...haijapoteza dira.....ku update system sio kupoteza dira...MODS funga hii thread
 
Unachosema ni kweli kabisa angalia participation ya wale members maarufu waliyoinyanyua JF na kuiweka kwenye chati ambayo imekuwa ndogo sana na hata jumbe zinazotumwa zimepungua sana na pia idadi ya watu wanaokuja hapa na kulog in kwa siku si kubwa kama ilivyokuwa awali labda hali itabadilika.
 
siku zote ukweli unauma lakini ukiangalia kwa makini wengi humu wameanza kutokuwa na shauku la kuingia kama kusoma au kuwacha maoni hii ni kutokana na mfumo huu uliowekwa hivi sasa ,kama zamani ulikuwa unapita maskali na kuzungumza na wenye maskani bila ya kuingia ndani sasa inakubidi uingie ndani kisha wende huko vyumbani, na sio kila mtu anawakati wa kufanya hivyo , binafsi nimekuwa nimekuwa mzito sana wa kuingia lakini ,mazoweya yanatabu (Mgema Akisifiwa Tembo huliengeza maji )
 
Lets See....labda because ya development za hapa na pale user wengi wanaona uvivu kuanza kutafuta thread wanazojua ni za moto.Kingine labda source za information ambazo huwa ni mwiba kwa uma na kwa watu binafsi ambazo zilikuwa ni za kwanza kufika hapa kabla ya popote pale.Zimeadimika...lakini hili linaaweza kuwa ni kwa pande mbili either tuliokuwa mwiba kwao sasa wamejirekebisha so hakuna mengi.Ila close to uchaguzi watasogea tu user..wengine hata member of pariament watasogea humu kupata details za mambo mbali mbali kuweza kuwakilisha kwa wananchi.
 
Mikela's Join Date is Fri Feb 2010.........JF ipo toka 2006...haijapoteza dira.....ku update system sio kupoteza dira...MODS funga hii thread
Mkuu punguza jazba kidogo. inawezekana mtoa mada ana hoja.
Ni sahihi kuwa idadi ya wanaolog in imepungua lakini binafsi sina hakika kama umaarufu umepotea kwani kupungua kasi ya kulog in kwa members sizani kama ni kipimo sahihi cha kupima umaarufu wa JF.
 
Ndugu yangu,
Tusiwavunje nguvu wenzetu wanaojinyima usingizi hii kitu iwe bora.Wako watu pia hawalali wanataka kuiua hii kitu ndio maana Maxene and team wanabadilbadili mifumo kuiweka hai....hata mimi nilkisumbuka kidogo na mabadiliko haya lakini niliwaomba maelekezo na kutoa ushauri kuboresha...kuijadili hapa sio suluhu....sorry kama sikueleweka lakini nildhani mtoa hoja hajuai yale ya BCS na Jambo Forum amabapo watu walikamatwa pia.....kauchungu tu si jazba wala
 
Da! Umetonesha kidonda ambacho kilianza kukauka. Nimekusoma safari.
 
Nauliza tu.
Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?

Hapana hapana, wewe sio mtanzania halisi km unaona JF imepoteza muelekeo.Iko sawa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Unachosema ni kweli kabisa angalia participation ya wale members maarufu waliyoinyanyua JF na kuiweka kwenye chati ambayo imekuwa ndogo sana na hata jumbe zinazotumwa zimepungua sana na pia idadi ya watu wanaokuja hapa na kulog in kwa siku si kubwa kama ilivyokuwa awali labda hali itabadilika.
Kaka huo utafiti umeufanya lini? tuambie basi walikuwa wangapi na sasa wamebaki wangapi, mi nasema hivi jf ipo juu na hii ndo sehemu ya kusemea mambo yako kwa uwazi,
 
Unachosema ni kweli kabisa angalia participation ya wale members maarufu waliyoinyanyua JF na kuiweka kwenye chati ambayo imekuwa ndogo sana na hata jumbe zinazotumwa zimepungua sana na pia idadi ya watu wanaokuja hapa na kulog in kwa siku si kubwa kama ilivyokuwa awali labda hali itabadilika.

Shida ni kuwa threads ni nyingi kwa sasa na sitaendelea kukua.....baadhi ya oldies wanatafuta threads hot ili wachangie.....sasa hivi waaanzishaji threads wengi wanaleta nyepesinyepesi na hivo kuto hamamsisha vizuri uchangiaji wa ma oldies....
 
Number of Members: 17,511
Total Threads: 44,744
Total Posts: 882,445
Currently Online: 2701

Wembe ni ule ule hakuna kupoteza mwelekeo wala dira.
 
Back
Top Bottom