JE NI KWELl JAMII FORUMS IMEPOTEZA UMAARUFU?

Wakuu,

Umaarufu gani JF ilikuwa nao mwanzoni? give us few key points ili sisi tulioingia karibuni tuwe aware of - in case we need to bring back those values ikibidi.

Remember - Kitu chochote kinacho expand huwa lazima kiwe na challenges - sasa usitegemee jamii forum ya 2006 iwe sawa na hii ya 2010. Kila members wapya wanavyozidi kujiunga pia kunakuwa na vitu mchanganyiko - Thread za busara zinakuwepo na upupu pia lazima uwepo as part of JF na ukuwaji wake.
 
Shida ni kuwa threads ni nyingi kwa sasa na sitaendelea kukua.....baadhi ya oldies wanatafuta threads hot ili wachangie.....sasa hivi waaanzishaji threads wengi wanaleta nyepesinyepesi na hivo kuto hamamsisha vizuri uchangiaji wa ma oldies....

i agree with you.
 
Back
Top Bottom