Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Je, ni kweli wanaume wanataka salad?
Mhhhhh, mbona umenigusa kihivyo? Nikuulize wewe, je jamaa yako anajisikiaje akiwa na wewe peke, je anakwenda sana chooni ama kusingizia kuwa ana usingizi anakwenda kulala ila wewe ukienda chumbani baada ya masaa bado unamkuta yuko busy na simu au anaweweseka? Ni pm basi tupenae ushauri na tutakiane hali,au vipi?