Je, ni kweli ukisoma vitabu hivi unakufa?

jina baya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
553
336
Wakuu habari za wakati kama huu....
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kwa kweli imekuwa ikinitatiza na kunipa maswali mengi sana. Siku chache zilizopita niliwahi kusikiliza the story book ya wasafi fm kuhusu vitabu visivyoeleweka ambavyo inasadikika vimeandikwa na shetani. Kwa msisitizo kabisa jamaa akasema kwamba ukivisoma tu utaishia kupata misukosuko na hautamaliza miaka miwili utakufa. Ila pia anasisitiza zaidi kwamba utapata nguvu nyingi kuliko binadamu wote...

Vitabu vyenyewe ni hivi hapa
1. The lesser key of solomon
2. The grand grimoire
3. The book of sacred magic
4. The book of soyga
5. The devils bible

Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa haya mambo. Je kuna ukweli wowote wenye ushahidi kuwa ukisoma vitabu hivi unapata nguvu ila unakufa?
View attachment 2422547View attachment 2422548View attachment 2422550View attachment 2422551
 
Wakuu habari za wakati kama huu....
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kwa kweli imekuwa ikinitatiza na kunipa maswali mengi sana. Siku chache zilizopita niliwahi kusikiliza the story book ya wasafi fm kuhusu vitabu visivyoeleweka ambavyo inasadikika vimeandikwa na shetani. Kwa msisitizo kabisa jamaa akasema kwamba ukivisoma tu utaishia kupata misukosuko na hautamaliza miaka miwili utakufa. Ila pia anasisitiza zaidi kwamba utapata nguvu nyingi kuliko binadamu wote...

Vitabu vyenyewe ni hivi hapa
1. The lesser key of solomon
2. The grand grimoire
3. The book of sacred magic
4. The book of soyga
5. The devils bible

Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa haya mambo. Je kuna ukweli wowote wenye ushahidi kuwa ukisoma vitabu hivi unapata nguvu ila unakufa?
Nataka kuvisoma mwenye navyo avilete tafadhali. Nyingine hizo ni Hofu tu.
 
Kuna mahali nimeona vipo kama vitatu au vinne kati ya hivyo ngoja nividownload nipakie hapa ili mpate maarifa
 
Wakuu habari za wakati kama huu....
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kwa kweli imekuwa ikinitatiza na kunipa maswali mengi sana. Siku chache zilizopita niliwahi kusikiliza the story book ya wasafi fm kuhusu vitabu visivyoeleweka ambavyo inasadikika vimeandikwa na shetani. Kwa msisitizo kabisa jamaa akasema kwamba ukivisoma tu utaishia kupata misukosuko na hautamaliza miaka miwili utakufa. Ila pia anasisitiza zaidi kwamba utapata nguvu nyingi kuliko binadamu wote...

Vitabu vyenyewe ni hivi hapa
1. The lesser key of solomon
2. The grand grimoire
3. The book of sacred magic
4. The book of soyga
5. The devils bible

Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa haya mambo. Je kuna ukweli wowote wenye ushahidi kuwa ukisoma vitabu hivi unapata nguvu ila unakufa?
Kuna ujuzi mwingine ni hatari kwa mwanadamu kuujua na kuendelea kuishi. Ni hatari kwa nguvu za giza kwani unaweza ukaziharibu hivyo wakijua una huo ujuzi utapigwa vita sana au kuuwawa! Wapo watu flani tunaishi nao hata hapa nchini wanatoa shuhuda zao za kukutana na kufanya kazi kuzimu na shetani halafu wakafanikiwa kutoroka ama kuasi, watu hawa kama hawatajifungamanisha na Mungu huishia kuuwawa kwa kile wanachokijua. Hivyo kuweni makini na kujua sana mambo ya “upande wa pili”!
 
Vyote nimekwisha soma, kwanza soyga huwa Huwezi kukisoma / Adam alificha mno tafsiri na hakuna mwenye kuweza tafsiri that book!
Samahani mkuu, ulivisoma mwaka gani? Maana jamaa wa wasafi anadai huwezi kukaa zaidi ya miaka miwili dah...
 
Nisife wa kwanza, maisha bado matamu
Mkuu wewe kisome tu... kuna vitabu vingi sana nimeona kwenye source mahali vinavyohusu magic nitajitahidi niviweke hapa watu wapate knowledge, shida ya waafrica huwa hatupendi kusoma vitabu kabisa
 
Back
Top Bottom