Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

Cha kwanza Ni lazima ujue siku za kushika mimba Ni zipi ndio utakua na uhakika wa kuizuia hiyo mimba; kimsingi kwa walio wengi siku za kushika mimba Ni KUANZIA siku ya 10 Hadi 17 tangu siku ya kwanza kuona hedhi... Kwa mantiki hii wewe hapo hukua ktk hatari yoyote vya kubeba mimba.
Kwa maelezo Zaid karibu Dm
Coitus Interruptus is the best method. This will free you from the side effects and possible adverse events of frequently relying on p2.
 
Hivi ukiwa na irregular cycles siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata mimba?
Sina uhakika sana, ila mwenye irregular cycle ni rahs sana kupotea kupangilia tarehe safe na danger ... Maana siku zinabadilika badiika, mara asilate mwez mmoja, mara mwwz huu ni siku mbili the next anapata 5 days.. so vurugu vurugu kupangilia.
 
Sina uhakika sana, ila mwenye irregular cycle ni rahs sana kupotea kupangilia tarehe safe na danger ... Maana siku zinabadilika badiika, mara asilate mwez mmoja, mara mwwz huu ni siku mbili the next anapata 5 days.. so vurugu vurugu kupangilia.
Yeah nikweli
 
Sidhan kama p2 inazuia kwa watu wote,mm karibu mara 2 nzima hizo p2 zimeshindwa fanya kaz kabisa

Nilishangaa sn lkn ndo hivo najulishwa mtu ana ujauzito na wote niliwasimamia kunywa dawa hio baada ya mchezo
 
Siku 2 baada ya hedhi huwezi kupata ujauzito.

Hizi P2 kuweni nazo makini zitawaleteeni matatizo huko mbeleni, maana watu wamekuwa wakizitafuna kama peremende vile.

Inashauriwa kuzitumia si zaidi ya mara 2 kwa mwaka. Ila sasa imekuwa kama fashion wakimwagiwa ndani tu P2.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanawake wengi hawajui ni vp wanapata ujauzito ndio maana kuja watoto wengi ambao hawakutarajiwa.....hata vp sku mbili baada ya cycle huwez pata ujauzito.
 
P2 Sina uhakika. Mimi najua majivu yakichanganywa na magadi efficiency 99%
Haina madhara!? Je kama unamimba italeta matokeo gani na kama hauna italeta matokeo gan ili ujue imetoka ama hakuna kitu.......na unakunywa mchanganyiko huo wakat gani week ama sku ngap baada ya tukio?
 
Sasa hapa nmepata elim kwenye huu uzi ntakua naita dem SKU mbili baada ya hedhi
Au siku ya 19 tangu aanze hedh kavu kavu tamu jaman
Mkuu usijipe hope nayo pia inaweza ikanasa sio kila siku itakuwa ijumaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeuliza majibu niliyopewa sijui kama ni ya kweli au la
 
Back
Top Bottom