We jichanganye tu ujui kuwa inategemea na mzunguko wake ni wasiku ngapiSasa hapa nmepata elim kwenye huu uzi ntakua naita dem SKU mbili baada ya hedhi
Au siku ya 19 tangu aanze hedh kavu kavu tamu jaman
mzunguko wangu unabadilika badilika
Mkitingwa siku ambazo una shaka nazo tumia kondom, achana na hayo mavidonge, kiufupi hizi contraceptives nyingine sikubaliani nazo kabisa.mzunguko wangu unabadilika badilika
Coitus Interruptus is the best method. This will free you from the side effects and possible adverse events of frequently relying on p2.Cha kwanza Ni lazima ujue siku za kushika mimba Ni zipi ndio utakua na uhakika wa kuizuia hiyo mimba; kimsingi kwa walio wengi siku za kushika mimba Ni KUANZIA siku ya 10 Hadi 17 tangu siku ya kwanza kuona hedhi... Kwa mantiki hii wewe hapo hukua ktk hatari yoyote vya kubeba mimba.
Kwa maelezo Zaid karibu Dm
Sina uhakika sana, ila mwenye irregular cycle ni rahs sana kupotea kupangilia tarehe safe na danger ... Maana siku zinabadilika badiika, mara asilate mwez mmoja, mara mwwz huu ni siku mbili the next anapata 5 days.. so vurugu vurugu kupangilia.Hivi ukiwa na irregular cycles siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata mimba?
Yeah nikweliSina uhakika sana, ila mwenye irregular cycle ni rahs sana kupotea kupangilia tarehe safe na danger ... Maana siku zinabadilika badiika, mara asilate mwez mmoja, mara mwwz huu ni siku mbili the next anapata 5 days.. so vurugu vurugu kupangilia.
Na mie nimeshangaa!!!Kwani siku mbili baada ya hedhi ukisex unapata mimba?
πππSiku 2 baada ya hedhi huwezi kupata ujauzito.
Hizi P2 kuweni nazo makini zitawaleteeni matatizo huko mbeleni, maana watu wamekuwa wakizitafuna kama peremende vile.
Inashauriwa kuzitumia si zaidi ya mara 2 kwa mwaka. Ila sasa imekuwa kama fashion wakimwagiwa ndani tu P2.
Emergency pillHabari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu...
So naomba kwa wenye uzoefu wa hizo p2 mnijuze, kuwa ni kweli zinazuia ujauzito?
Haina madhara!? Je kama unamimba italeta matokeo gani na kama hauna italeta matokeo gan ili ujue imetoka ama hakuna kitu.......na unakunywa mchanganyiko huo wakat gani week ama sku ngap baada ya tukio?P2 Sina uhakika. Mimi najua majivu yakichanganywa na magadi efficiency 99%
Mkuu usijipe hope nayo pia inaweza ikanasa sio kila siku itakuwa ijumaa ππSasa hapa nmepata elim kwenye huu uzi ntakua naita dem SKU mbili baada ya hedhi
Au siku ya 19 tangu aanze hedh kavu kavu tamu jaman