Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

Muda mwingine tumieni kondom kuepuka matumizi ya P2.

P2 zina athari nyingi sana. Ikitumiwa mara nyingi husababisha ugumba. Inafika wakati unahitaji mtoto, unaanza kusugua magoti chini kumuomba Mungu mtoto.

Mungu hana muda kushughulikia upuuzi ulioufanya mwenyewe kwa makusudi.

Fateni mzunguko au jizuieni.
 
Ina sikitisha sana kuona had umri huo ujui siku zako za hatari ni zipi.

Jifunze kwanza kutambua mzunguko wako wa hedhi na siku zako za kushika ujauzito ndio uanze kutumia ayo madude
 
Muda mwingine tumieni kondom kuepuka matumizi ya P2.

P2 zina athari nyingi sana. Ikitumiwa mara nyingi husababisha ugumba. Inafika wakati unahitaji mtoto, unaanza kusugua magoti chini kumuomba Mungu mtoto.

Mungu hana muda kushughulikia upuuzi ulioufanya mwenyewe kwa makusudi.

Fateni mzunguko au jizuieni.
sawa kiongozi asanteh kwa ushauri wako
 
Cha kwanza Ni lazima ujue siku za kushika mimba Ni zipi ndio utakua na uhakika wa kuizuia hiyo mimba; kimsingi kwa walio wengi siku za kushika mimba Ni KUANZIA siku ya 10 Hadi 17 tangu siku ya kwanza kuona hedhi... Kwa mantiki hii wewe hapo hukua ktk hatari yoyote vya kubeba mimba.
Kwa maelezo Zaid karibu Dm
Huko DM unataka kumpiga tu huyo. Kwanini usiweke hapa wengi wapate elimu?
 
P2..inachofanya ni kufanya ute wa mwanamke kuwa mzito kuliko kawaida hivyo sperm za mwanamme zinashindwa kusafiri kupitia ute huo kwenda kurutubisha mayai..

Ndio maana zinatumiwa ndani ya masaa 72 baada ya sex hii ni kwa sababu kipindi hiki mayai yanaweza kuwa hayajachavushwa na sperm..japo hushauriwa zaidi kutumia ndani ya masaa 24 kwa uhakika zaidi..

Nimesikitika sana mleta mada unasema una watoto saba na bado haujajua siku za hatari kubeba mimba..
Kasema anamtoto wa miezi saba
 
Back
Top Bottom