jmn ntakufa kwa presha mmHizo P2 haziaminiki sana, kuna cases za waliotumia kwa usahihi na hazikuwasaidia.
daah shuqran sana ,basi ngoja nitoe hofu tu jmn 😍😍💃💃Hautapata ujauzito, kuwa na amani; miaka ya nyuma mchepuko alikuwa anatumia sana hizo na zilimsaidia.
😆😆😆😆 jmn sio hamu ila tu nilipataAlikuwa na hamu ya kunywa dawa tu.
sio watoto Saba ni mtoto wa miezi 7😍P2..inachofanya ni kufanya ute wa mwanamke kuwa mzito kuliko kawaida hivyo sperm za mwanamme zinashindwa kusafiri kupitia ute huo kwenda kurutubisha mayai....
Jazia nyama hapa mkuuP2 Sina uhakika. Mimi najua majivu yakichanganywa na magadi efficiency 99%
Unaongelea past tense my akati p2 zinamezwa baada ya tendoP2..inachofanya ni kufanya ute wa mwanamke kuwa mzito kuliko kawaida hivyo sperm za mwanamme zinashindwa kusafiri kupitia ute huo kwenda kurutubisha mayai...
sawa kiongozi asanteh kwa ushauri wakoMuda mwingine tumieni kondom kuepuka matumizi ya P2.
P2 zina athari nyingi sana. Ikitumiwa mara nyingi husababisha ugumba. Inafika wakati unahitaji mtoto, unaanza kusugua magoti chini kumuomba Mungu mtoto.
Mungu hana muda kushughulikia upuuzi ulioufanya mwenyewe kwa makusudi.
Fateni mzunguko au jizuieni.
aisee, alifaidi
Huko DM unataka kumpiga tu huyo. Kwanini usiweke hapa wengi wapate elimu?Cha kwanza Ni lazima ujue siku za kushika mimba Ni zipi ndio utakua na uhakika wa kuizuia hiyo mimba; kimsingi kwa walio wengi siku za kushika mimba Ni KUANZIA siku ya 10 Hadi 17 tangu siku ya kwanza kuona hedhi... Kwa mantiki hii wewe hapo hukua ktk hatari yoyote vya kubeba mimba.
Kwa maelezo Zaid karibu Dm
Mmmh hapo ni kazi kwel kwel.mzunguko wangu unabadilika badilika
Kasema anamtoto wa miezi sabaP2..inachofanya ni kufanya ute wa mwanamke kuwa mzito kuliko kawaida hivyo sperm za mwanamme zinashindwa kusafiri kupitia ute huo kwenda kurutubisha mayai..
Ndio maana zinatumiwa ndani ya masaa 72 baada ya sex hii ni kwa sababu kipindi hiki mayai yanaweza kuwa hayajachavushwa na sperm..japo hushauriwa zaidi kutumia ndani ya masaa 24 kwa uhakika zaidi..
Nimesikitika sana mleta mada unasema una watoto saba na bado haujajua siku za hatari kubeba mimba..