Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,220
- 24,759
Si kweli.....paa was so over priced......bati kila mtu alitaka Nabaki Africa,then nenda uguse uone moto wake...to avoid all those,watu wanamaliza na box.....Nani alikwambia ni gharama nafuu? Kwanza hizo nyumba huwa na madoido mengi na zinatumia Sana saruji so gharama huwa ni zaidi ya zile traditional houses.
Paa was so ridiculously over priced