Je ni kweli ntakufa 2014 April???



Hama kabisa hapo unapokaa
 

Mshukuru Mungu kwa yote. Mwambie Mungu asante kwa ndoto hii naomba MAPENZI YAKO YATIMIZWE.
 

hiyo ni alama ya kuwa wewe na chadema mtakufa siku moja,poleni sana
 

Sometime hizi ID zetu zinakuwa na uhalisia wa maisha ya mtu, ndiyo maana ukajiita Baba Matatizo.
 
Hiyo ni ndoto tu brother no one knows atakufa lini only God can, but kumbuka unaweza kufa any time even today or 30 years later. Turn to your God
 
Kufa si tatizo kwa sababu hata kama mtu hutaki kufa iko siku utakufa tu',tatizo ni baada ya kufa utakuwa
wapi? ni sehemu mbili tu za kwenda either Mbinguni milele au Motoni milele,ni suala la kuchagua mwenyewe,
Kama unataka kwenda Mbinguni mpokee YESU awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako ili akupe uwezo wa
kushinda dhambi na siku ya mwisho ukifa uende Mbinguni.Kama unataka kwenda motoni endelea kuishi maisha
ya dhambi.La kukumbuka tu ni kwamba hakuna mwanadamu anaweza kushinda dhambi kwa nguvu au kwa akili
zake,ila ni kwa msaada wa Mungu baada ya kumkiri YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako'
 
Mtafute Mzizi Mkavu haraka sana, au anza kugawa mirathi kabisa. Ndoto ya kufa haikopeshi
 
Last edited by a moderator:
...kama mke wako ni mzuri sana! Ni kweli unaweza ukafa...

Kama sijakupatapata vile! Kwani uzuri wa mke wa huyu mkuu na kifo chake vinauhusiano gani? Au unampango wakumrithi mjane?
 
Kama ikitokea r.i.p uncle BUJI, utamsalimia Appetizer mwambie Kapuya kapotea kama alivopotea Balali.
 
Last edited by a moderator:
kwa vile hukunywa kwa muda yawezekena ni pombe tu unazokunywa mara kwa mara usipokunywa kwa muda huwa zinatabia ya kuingia na kutoka akilini ili kukukumbusha kuwa unatakiwa unywe hivyo yawezekana ulikuwa umelewa japo hukunywa. tetetetteteee pole mkuu hutakufa au utakufa yani moja kati ya hili lazima litatokea.
 
yote ni kwasababu umepumzika mtungi ukizoea mtungi usipokunywa unaota mashetani piga kinywaji utaona no kufa raha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…