Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
 
Bujibuji, ahadi ya Mungu kwetu ni kuishi. Ikemee ndoto hiyo Kuwa kukiri ahadi ya Mungu Kuwa tutaishi miaka zaidi ya 120 na pia Kuwa hutakufa Bali tutaishi. Kumbuka Kuwa Sometimes the devil is a lier. Sio kila ndoto yatokakwa Bwana na pia sometimes shetani Hujifanya malaika ili akupate .
 
ibilisi anakuchezea akili,
 
ndoto ya pepo magirini towekaaaaaa, ushindwe kabisa. Mimi sitokufa, bali nitaishi
 
ulikuwa unawaza nini mchana?kama haviendani jaribu pita katika Uzi wa psychic powers and abilities jamaa wameelezea ,inaweza kuwa kweli jitayarishe mkuu,by the way what is more beautifully than death?
 
ichukulie ni ndoto kama ulivyoota dont turn it to reality............
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
tuachie usia kabisa
 
kwani uliota utakufaje..? isijekua kama yaliyotokea Rwanda. tafuta filamu hii "sometimes in april"
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

Hata hiyo April 2014 still yaweza kua mbali pia
 
Bujibuji, ahadi ya Mungu kwetu ni kuishi. Ikemee ndoto hiyo Kuwa kukiri ahadi ya Mungu Kuwa tutaishi miaka zaidi ya 120 na pia Kuwa hutakufa Bali tutaishi. Kumbuka Kuwa Sometimes the devil is a lier. Sio kila ndoto yatokakwa Bwana na pia sometimes shetani Hujifanya malaika ili akupate .

Ha ha ha ha....Miaka 120...? Maajabu haya....Mungu huyo anasema binadamu alizaliwa na mwanamke umri wa kuishi ni miaka 70 zaidi ya hapo ni mateso na taabu...

Halafu kuna vitu vingi huchangia kupunguza umri wa kuishi....Ni kanunu tuu za maisha hata kama utakesha kanisani kama hufuati kanuni hizo lazima utaiacha hii dunia...
 
Bujibuji, huyo ni POPOBAWA hivi amekusalimisha kweli?
 
'Kwa hakika kila nafsi inaonja mauti' hivyo bujibuji usiogope kufa!
 
...kama mke wako ni mzuri sana! Ni kweli unaweza ukafa...
 
Back
Top Bottom