Kumtoa bikra mwanamke ni lazima ionekane damu???
Msaada wenu
Mleta uzi ulipaswa kwanza Uelewe bikira ni nini ama ni nini maana ya mtu kutwa bikira??Kingine usizani kua bikira ni damu ama kitu fulani kwa mwanamke. Ili somo inaonekana limekupiga chenga mdogo wangu.
Inabidi lecture uzishushe hapa ili watu wapate kuelewa na kuondokana na dhana potofu
Uwanja ni wako
Bikira ni state/hali ya mwanamke kutokuwahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote since birth. So mwanamke yoyote ambaye hajawahi kuingizwa uume na mwanaume anaitwa bikira, Sasa Unapozungumzia damu kama kielelezo cha mtu kuwa bikira unakua unakosea. Iko hivi katika maumbile ya uke ya mwanawake kuna kitu kinaitwa Hymen hiki kitu ni thin membrane tht sorrounds the opening to the vigina, kitu hiki ni very soft na upo wakati chaweza kutoka tu kutokana na shughuli ngumu zozote kama vile kuendesha baiskeli nk. hii membrane ikiwa broken utoka kama damu hivi, sasa wengi uita hii kitu ndio bikira wakati maana halisi ya bikira ni hali ya mwanamke kutokuwahi kuingiliwa na mwanaume, ivyo basi wapo wanawake wanaozaliwa bila kua na hii hymen kabisa hawa nao bado huwa ni mabikira iwapo hawajawahi kushiriki tendo la ndoa na mwanaume, wapo pia walioipoteza membrane hii katika shughuli tofauti tofauti ngumu still nao kama hawajaguswa na mwanaume wataitwa mabikira, sasa usitegemee kukuta damu kwa watu wa namna iyo, na wapo pia wanawake wanaozaliwa wakiwa na hii hymen ikiwa imeziba kabisa kiasi kwamba uitajika kufanyia upasuaji ili kuwawezesha kupata MP kama unavyoelewa MP ni lazima sasa ikitokea mtu kazaliwa na hymen iliyoziba kabisa basi minor surgery ufanyika ili kuacha njia ya kuruhusu damu ya MP kupata upenyo wa kutoka kila mwezi. Swala lingine hii hymen utofautiana ugumu na ukubwa wa kuuzunguka uke kati mwanamke na mwanamke Note: Kuna baadhi ya tafiti pia zinadai wapo wanawake wenye hymen ngumu kiasi,kisha wakalala na wanaume na still hii Hymen ikaendelea kuwepo endapo tu kulikua na good lubrication na male partner aliweza kuistretch hymen bila kuivunja (ingawa ni nadra kutokea hii), sasa hawa pamoja na kuwepo kwa hii hymen huwezi kuwaita bikira tena maana wameshafanya mapenzi,na ubikira ni hali ya kutokuwahi kufanya mapenzi na mwanaume na si uwepo wa hii hymen
Dalili ya mvua ni mawingu, kamalize mchezo na ukiona dudu ikitoka na damu ujue u is first, kama hujaona ujue umo kwenye tela lake!
haijatoka bikira ni oil seal tu zitakuwa zimelegea ..we bikira itoke huyo unadhani ataweza hata kushika blackberry kutuma meseji!!!
tatizo ulikazania maumivu makali lazima!!!!!
mimi nilikua naogopa sana mashangazi wanasema inauma hutembei wiki nzima unakua mtu wa kubebwa tuu....nikasema siku ya tukio nitachoma sindano ya diclofenac kabisa kuepukana na hayo maumivu kumbe hakuna kitu kutishana tu
Alaa kumbe ivo?kakuzuga huyo.ili aonekane wewe ndio uliomtoa,wakati kuna mwengine kabla ya hapo alietoa.kwa nini mtu usiwe mkweli.kama mtu anakupenda bikira sio big deal
Habari za KUFIKIRIKA,hakuna cha kukumbuka wala kutumbuka au vipi?Ahsane mkuu.huyo mdada mchunguze vizuri huwei kutoa bikra usijue ni lazima utajua tu hata iweje,kwanza wakati wa kubikiri kwa mwanamke kuna wakati wa kulia na wakati wa kufurahi,akatoa machozi lakini ni ya furaha na ya ahsante ka ababu unakuwa umemtua mzigo mzito uliokuwa unamsumbua,na ndio mana kuna wakati naweza kukurusha mbali sana,lakinbi inapofika wati wenyewe anakukumbatia mithili ya kukuganda huku mihemo yake ikibadilika na hapo wakati huo hakumbuki wala hawezi kufahamu ni nini kinachoendelea kwenye Dunia,kwa sababu wakati huo kuna yale maziwa yanakutana na sehemu zake zilizochanika kwa hiyo ni kama kisu kinachopia kenye shingo ya kuku au mbuzi.
Na ndio maana ukimbikiri mwanamke vizuri ni ngumu sana kukusahau maishani mwake,lakini ukimbikiri vibaya kwa nguvu na kumlazimisha sana ni ngumu pia kukusahau kwenye maisha yake.
gfsonwin vipi huko nyuma mko wangapi?khaaa! jaman yaani wewe kaka uko innocent sana ila sasa MODS please naomba nifunguke tu ili kumuokolea huyu kijana jahazi naumia kama vile ni mwanangu.
Pindima kwanza kabisa kitendo ulichofanya siyo kweli kwamba kimemtoa huyo dada bikra. pili wewe kuingiza kidole kwenye utupu wake na kugoma kuingia kina tafsiri hii, uke wa mwanamke hata kama utalainishwa kiasi gani kwa lubricant hauwez kuruhusu kitu kupenya kirahisi huwa kadiri mtu anavyokuwa stimulated ndivyo contraction of muscles za uke zinakuwa kubwa na hii ndio hufanya unapokuwa ndani ya uke kuskia mmbano ambao huleta mfyonzo. sijui kama umenielewa hapa. hivyo swala la wewe kushndwa kupitisha kidole laweza kuchangiwa na hali ya misuli ya uke kubana tu.
mfano mzuri mwanamke anapojisafisha akiingiza kidole mara ya kwanza, akija kujaribu kupitisha mara ya pili eneo lile hujifunga kabisa na hivyo kuzuia kidole kupita. sasa jaribu kumfanyia jaribio hilo utaona ukweli.
tuje kwenye kuumwa tumbo na kutoka damu, damu hiyo ina asilika wapi?? damu ya ubikra iki dumu sana sana ni masaa4 machache na damu hii haitoki nyingi sana ni kidogo kias kwamba hata akivaa pedi haitaj kubadilisha,. inapotokea damu kuwa nyingi kiasi cha kubadili pedi basi damu hiyo huwa imekutana na period ambayo imekuwa ama ilishafika muda wake ama imekuwa initiated na kitendo chenyewe hasa kwa mtu ambaye ni mwoga wa kile kitendo ama ni mgeni kabisa.
sasa nimalizie kwa kusema huyo bidada yawezekana kabisa akawa hajui bikira inatokaje na wewe pia huji ni kitu gani ama la kama dada ni mjanja sana inawezekana ikawa kinyume chake.