Je, ni kweli majina yanaathiri tabia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni kweli majina yanaathiri tabia?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jouneGwalu, Apr 30, 2011.

 1. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Leo, mida fulani hivi nasikiliza wimbo wa Mzee Cosmass Chidumule, "Neema"
  Kutoka kwenye huo wimbo napata tafakuri fulani juu ya alichokuwa anakilalamikia mwimbaji, mtoto Neema.

  Binafsi nimekuwa na bahati sana ya kukutana na mabinti wenye majina ya Neema, na wengi wao ni wazuri niliokutana nao mimi.

  Hapa naomba niwe mkweli, Neema wa kwanza kukutana naye alikuwaga house gal wetu enzi hizo na naanza kupata ile "foolish age", nikataka nijifunzie kwake. Du mtoto alinitosa mbaya kabisa, pamoja na juhudi zote za "walimu" wangu, basi nikajikaza tu na kuendelea kumuita dada japo kwa shingo upande na siku alipoondoka home nilifurahi sana.

  Sekondari nilikutana na Neema, mwingine..... nacho kilikuwa kifaa, basi nilikimbizia weee, yalikuwa mapozi juu ya mapozi hadi nikakata tamaa, form III nikahama darasa nikaachana nae, moyoni nilifurahi sana bila kumuona.

  Wakati nipo college (diploma), nilikutana na Neema, mwingine... yakawa ni yaleyale ahadi juu ya ahadi, sikutaka kufika nae mbali nikakumbuka hawa watoto wakina Neema sina nao bahati, nikamtema, toka siku ile nikasema sitahangaika na binti yoyote mwenye jina la Neema.
  Nilipoingia chuo kikuu, kazi ikaja kwa ndugu yangu sasa..... naye akakutana na Neema wake huko, kijana wangu nae alipata wakati mgumu yule mtoto ni alimpa mapozi hasa hadi tunakuja kumaliza chuo hakuweza kumpata yule mtoto Neema,

  Wakati amekata tamaa ya kumpata, ndio siku hiyo akawa ananiambia kuwa hata hivyo alikuwa anajaribu kwa mara ya mwisho tu kwani hajawahi kukutana na wakina Neema na wakamkubalia, naye akanipa mikasa yake na wakina Neema.

  Wakati naendelea kusikiliza huu wimbo, ndio najiuliza na naomba wanadau wa MMU mnisaidie hivi haya majina (hata inaweza kuwa jina lolote tofauti na Neema) yana maana kweli kwenye mahusiano?

  We kisa chako na haya majina ni nini?
  Kuna ishu ya majina ishawahi kujitokeza kwenye mikasa ya mahusiano yako?
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Aisee nakwambia hii topic inanihusu kabisa. Imagine naitwa Asha na unajua the majority's definition ya Asha - huwezi penda. Nakubaliana na wewe kua majina yana play part in defining a person sometimes even kumshape.
  Kwa upande wa Neema' JouneGwalu nafikiri tu huna bahati na hayo majina, lakini bana nafahamu akina Neema wengi hua wanabahati saana katika maisha na mambo yao. Ila upande wa ubaniaji, sijabahatika kukutana na ambae ajihusishi kabisa kwanza namfahamu mmoja ambae she likes the act na si kwamba anahitaji pesa-she is well off.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  asha d huyo neema ambaye she likes the act
  nitumie her phone no pm please
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  Oh Pleeease....
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  Pia nakubaliana na wewe, coz ukitoa huyo aliyekuwaga house gal wetu wengi nawafahamu ni wenye mafanikio na bahati sana. Nadhani sina bahati nao tu, ila niliokutana nao ni wana mapozi sana...
  Kwa kiasi kikubwa nimeathirika sana na ninavowatazama wakina Neema, binti akiniambia anaitwa Neema tu basi simtafuti tena labda yeye ndio awe na juhudi.
  Hiyo ya Asha sijawahi kuisikia, imeniacha hoi! so na wewe huwezi penda/pendwa??
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  back to topic

  mimi binafsi nina jina la kipeekee sana
  as a result naweza sema sifanani na yeyote kitabia..
  nipo kipeke yangu sana...

  but nimeona mfano majina ya ally wengi ni masharobaro mno..
  michael wengi wao wana uwezo wa ku lead wengine
  khadija wachangamfu sana
  mariam wapole kiasi na wana upendo kwa watu..

  leyla wanapenda sex sana
  anna hawajatulia kabisa

  happines wako happy sana..

  bahati..wanakuwaga na bahati pia
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  sasa wivu au nini?
   
 8. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  "The boss"
  hahahahah lol
  unataka kujaribu????
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mfano mzuri mtazame rais wa sasa wa nigeria...

  yeye alikuwa naibu gavana wa jimbo....
  gavana akafungwa yeye akarithi kiti...
  halafu akawa makamu wa rais,rais akafa yeye akarithi kiti....
  jiulize anaitwa nani?????

  GOODLUCK JONATHAN.......
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kabisa aisee lol
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Mi naona imechangia pia na kua Neema wa kwanza alikukataa, basi ulikua ukiona binti anaitwa Neema unajipanga mpaka unaharibu. Kuhusu akina Asha usitake kujua hao wanaojua wanatosha kabisa. By the way siku izi naona imepungua...
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  Acha kujifagilia, taja jina tuone kama kweli!
   
 13. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  Ahsante kwa huu mchanganuo kiongozi,
  Naona kama 90% ni mule mule,
  Natamani kupata GF mwenye jina la Leyla,
  Kwenye mzunguko wangu wa maisha wamekuwa adimu sana.
  Mhhh Mariam, alikuwaga shemeji yangu.... alikuwa mtata sana
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  Aaah wapi namuonea huruma, hao ambao wapo within reach wanatosha kabisa.
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unamuonea vipi huruma.wakati kitu chake mwenyewe?
  unambania naona....
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  LOL ... Huyo mchawi nini?
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Basi usijali nita ku PM. Ila jiandae maana ni nondo kila secta.
   
 18. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Umekumbusha kitu kingine mkuu, huyo jamaa siku nilipocheki story yake kwa bbc nilicheka sana,
  Akikukaimu tu imekula kwako......!
   
 19. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Asha D, we mtumie tu hiyo namba,
  Najua atakapoishia na jina lake la pekee!
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  Most of Leyla kweli wapole, ila ndo wapole kila secta - yeye ni wife material ambae huumizi kichwa hata watu wabaya kuchakachua. Kuhusu wao kupenda sex ndo naskia leo kwa The Boss, nafikiri alimbahatisha mmoja.
   
Loading...