Je, ni kweli majina yanaathiri tabia?

Asha D, we mtumie tu hiyo namba,
Najua atakapoishia na jina lake la pekee!


Mbona hapo kwa huyo Neema inaeleweka outcome itakuaje, na hilo jina TB analojidaia nitampa namba ya mbishi hata amwage sera vipi.
 
yawezekana kuwa kweli majina yanaathiri tabia coz nimewahi kuskia kuwa kina frank nao sio waaminifu ktk mahusiano...i think names in our liveszina impact
 
Topic ya leo iko juu? Mie simo humo nafikiri. Majina ni watu. Sikitu, sikujua, shida etc. siyo majina ya kuwapa watoto wako. Ebu tuwe wabunifu wa majina tuachane na Ushamba wa kuwapa watoto majina mabovu.

Glory be to God
 
umeisoma signature yangu hapo chini????



The Boss nimeipata mda -The name Michelanjelo ndo ili trigger cause sikuwahi jua ana quotes zozote, The guy was a genius of many talents. Kama unaniambia uko level hizo unanitisha.... au ni apply the sig peke yake not the man ili walau niwe na amani.
 
Topic ya leo iko juu? Mie simo humo nafikiri. Majina ni watu. Sikitu, sikujua, shida etc. siyo majina ya kuwapa watoto wako. Ebu tuwe wabunifu wa majina tuachane na Ushamba wa kuwapa watoto majina mabovu.

Glory be to God

wewe unaona majina mabovu.
wenzio yana maana kubwa...

sikitu maaana yake hakuna ubaya,mtoto ni mtoto bila kujali ni msichana au mlemavu...

sikujua maana yake sikujua kuwa kuzaa ni kazi ngumu yenye maumivu mengi...

shida ni mtoto aliezaliwa kwa shida na kukuta hali ya shida pia..
 
The Boss nimeipata mda -The name Michelanjelo ndo ili trigger cause sikuwahi jua ana quotes zozote, The guy was a genius of many talents. Kama unaniambia uko level hizo unanitisha.... au ni apply the sig peke yake not the man ili walau niwe na amani.

kuwa na amani tu....
hizo level zinafikika mbona....
 
Jaribu wakina shida,maajabu, mazoea.......kama huna bahati na akina neema haha haha.......
 
Leo, mida fulani hivi nasikiliza wimbo wa Mzee Cosmass Chidumule, "Neema"
Kutoka kwenye huo wimbo napata tafakuri fulani juu ya alichokuwa anakilalamikia mwimbaji, mtoto Neema.

Binafsi nimekuwa na bahati sana ya kukutana na mabinti wenye majina ya Neema, na wengi wao ni wazuri niliokutana nao mimi.

Hapa naomba niwe mkweli, Neema wa kwanza kukutana naye alikuwaga house gal wetu enzi hizo na naanza kupata ile "foolish age", nikataka nijifunzie kwake. Du mtoto alinitosa mbaya kabisa, pamoja na juhudi zote za "walimu" wangu, basi nikajikaza tu na kuendelea kumuita dada japo kwa shingo upande na siku alipoondoka home nilifurahi sana.

Sekondari nilikutana na Neema, mwingine..... nacho kilikuwa kifaa, basi nilikimbizia weee, yalikuwa mapozi juu ya mapozi hadi nikakata tamaa, form III nikahama darasa nikaachana nae, moyoni nilifurahi sana bila kumuona.

Wakati nipo college (diploma), nilikutana na Neema, mwingine... yakawa ni yaleyale ahadi juu ya ahadi, sikutaka kufika nae mbali nikakumbuka hawa watoto wakina Neema sina nao bahati, nikamtema, toka siku ile nikasema sitahangaika na binti yoyote mwenye jina la Neema.
Nilipoingia chuo kikuu, kazi ikaja kwa ndugu yangu sasa..... naye akakutana na Neema wake huko, kijana wangu nae alipata wakati mgumu yule mtoto ni alimpa mapozi hasa hadi tunakuja kumaliza chuo hakuweza kumpata yule mtoto Neema,

Wakati amekata tamaa ya kumpata, ndio siku hiyo akawa ananiambia kuwa hata hivyo alikuwa anajaribu kwa mara ya mwisho tu kwani hajawahi kukutana na wakina Neema na wakamkubalia, naye akanipa mikasa yake na wakina Neema.

Wakati naendelea kusikiliza huu wimbo, ndio najiuliza na naomba wanadau wa MMU mnisaidie hivi haya majina (hata inaweza kuwa jina lolote tofauti na Neema) yana maana kweli kwenye mahusiano?

We kisa chako na haya majina ni nini?
Kuna ishu ya majina ishawahi kujitokeza kwenye mikasa ya mahusiano yako?

kaka story yako imenigusa vilivyo, ni bahati sijui niite mkosi wa kukutana na akina Neema, O' level nilikutana na Neema akanizingua, A level nikakutana na Neema mtoto mzur wa kiiraq, huyu alinizungusha mpaka namaliza form 6, alikuja kunikubalia nikiwa mbali lakin baada ya kuja kuonana akanikana. Niliapa kutowafuata akina Neema, Mwaka jana nikiwa Arusha nilikvana na bint mrembo, nilipomuuliza jina akasema anaitwa Neema, nilipata mshtuko wa moyo, alinipa namba yake lakn baada ya mapoz kuzid nilimpotezea. Majuz nikiwa chuo nilikutana na mrembo mwingne, akanambia anaitwa Neema, niliwasiliana naye kwa siku chache lakn sasa hatak hata kupokea simu. Inafika kipindi nalichukia hili jina, Neema..Neema... Usipate tabu ooh Neema
 
names.....majina yana maana zake na huwawinda watoto, jina utalompa mwanao linaweza kumfanya afanane nalo.
a name might also reflect a parent, so parents watch out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom