GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,553
- 108,889
- Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
- Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
- Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
- Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
- Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
- Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
- Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
- Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
- Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
- Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
- Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake