Je, ni kweli kwamba yule kada wa CCM anayehusishwa Kuhamia ACT ni huyu?

Mkuu usitaje jina, labda ungesema "Yule aliyekuwa anajivinjari na Wakudadavuwa kwenye ziara zake akiwa Naibu Katibu Mkuu" watu wangeelewa sana
Mkuu, Wakudadavuwa ni mheshimiwa sasa kwani usaliti dhidi ya vyama vya upinzani unalipa kama hivyo. Yaliyopita yatabaki kuwa historia. Wako wengi kwenye serikali hii, wengine walipiga picha za utupu lakini leo hii ni wakuu wa wilaya, waliowahi kushtakiwa kustakiwa kwa kesi za rushwa ni mawaziri na wenye vyeti feki wakuu wa mikoa. Awamu hii vyeti na CV si muhimu, HAPA KAZI TU. Kilangila.
 
Mkuu wa chemba hauwezi kuvuka baraza,kwa uchafu wake ni salama huko huko chembani,apambane tu humo humo na funza na mapanya buku,mwenye choo akishikwaga na tumbo la kuhara wakubali tu matokeo kwani ndio neema ya maisha yao!!
 
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.
alichana bajeti ya kambi rasmi ya upinzani bungeni.
alisema anaushahidi ni chama cha cdm kuwa ni magaidi na anaweza kutoa ushahidi hata mbinguni
 
Mku yule wa Maji Mzee wa kutabasamu sana.
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.
 
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.

the time will tell us!
 
Akihamia huko hataweza hata kufurukuta kwenye siasa, kimsingi huyo bitozi nyangema anabebwa na mfumo wa chama alicho tu
 
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.

Hili hata sio fumbo. SUBIRINI MWINGINE. NINA AKILI TIMAMU NISHINDWE KUSHIBA WALI ULIOKO KWENYE SINIA NIKATEGEMEE KUSHIBA WAKUOKOTA CHINI. ? SIO MIMI WA KUHAMA CCM, SIO MIMI WA KUHAMIA ACT
 
Back
Top Bottom