Je, ni kweli kwamba yule kada wa CCM anayehusishwa Kuhamia ACT ni huyu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,468
108,621
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.
 
Aliandika mawe mengi nyuma ya 2015?
Yeyote awaye aje - lkn tukimaliza kura za maoni atulie - akiruka nje ya uzio tutaruka nae - akiropoka tutamfunga domo!

CCM ni ya watanzania!
 
Mwigulu kwa madudu yake aloyafanya .... Akihama tu imekula kwake.

Unajua wakuu..JIWE MJANJA SANA, anatumia taarifa za kiintelijensia alizonazo toka kwa vijana wake kumuumiza mpinzani wake.

Ndo maana ukiwa na Akili. Utagungua hata CCM ndan. HANA MPINZANI !!!!.

Jaribuni kumtizama Mwigulu ktk miaka 10 ilopita .

Mara mia ya Nape !!

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Kaiba nini Mwigulu pale wizara ya fedha?

Hivi Mwigulu ni fisadi kuliko Jiwe?
 
Yaani nina hamu kweli nimjue huyu JIWE kwani kila Siku huwa naona Watu wakimuandika na kumtajataja sana hapa ila nimejitahidi Kumjua nimeshindwa hadi hivi leo. Ni nani huyu JIWE jamani?
 
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.
kwa vile yumo humu jamvini, ngoja tumsikie yeye mwenyewe anatwambieje....
 
Back
Top Bottom